Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ZANSA/post/12
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mchango wangu ni huu:baada ya uchunguzi usio rasmi nimegundua kuwa vijana wengi hukata taama kwa mambo yakiwemo haya; – Kutothaminiwa juhudi zao za kujitolea. – 2.kuona scout ni kazi bure isiyo na faida yoyote wala haioneshi maslahi kwao – USHAURI:Serikali iweke kiwango japo kidogo cha kuwatia hamasa wanachama wa scout ili ujione kuwa wanajaliwa.hata kama ni kazi ya kujitolea tu.
(Bila tafsiri)
Hariri
habari ndugu maskauti na wapenzi wa blog hii salam na pongezi kwa Uongozi wa CHUCHU FM kutusapoti katika kuendesha harakati za Skauti hapa ZANZIBAR kwa kurusha kipindi Maaalum katika kituo chenu cha Redio AHSANTE – UONGOZI WA CHUCHU FM – MULHAT DORCE KWA USHIRIKIANO WENU MZURI MULIOTUPA KATIKA SIKU HII YA LEO YA 22/2/2014 SIKU YA MUNZILISHI WA SKAUTI DUNIANI – NISIKU AMBAYO SKAUTI WETU WALIAZIMISHA KWA KAMBI NA KUTEMBELEA MAKUMBUSHO
(Bila tafsiri)
Hariri