Log in
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA)
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Latest Updates
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added a News update.
Karibuni Zanzibar scouts Association
7 days ago
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added a News update.
habari ndugu maskauti na wapenzi wa blog hii salam na pongezi kwa Uongozi wa CHUCHU FM kutusapoti katika kuendesha harakati za Skauti hapa ZANZIBAR kwa kurusha kipindi Maaalum katika kituo chenu cha Redio AHSANTE – UONGOZI WA CHUCHU FM – MULHAT DORCE KWA USHIRIKIANO WENU MZURI MULIOTUPA KATIKA SIKU HII YA LEO YA 22/2/2014 SIKU YA... Read more
February 22, 2014
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added a News update.
Chama cha skauti Zanzibar kinatoa salaam na pongezi kwa SKAUTI MKUU mteule mama MWANTUMU BAKARI MAHIZA kwa kuteuliwa kwa Skauti Mkuu Hii ni Mara ya kwanza katika Chama hicho kupata skauti mkuu wa kike Tangia kuanzishwa kwake. – Chama cha skauti Tanzania kimekuwa kikiyumba kutokana na kuna matatizo mbali... Read more
June 12, 2013
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) joined Envaya.
May 14, 2012
Mission
1. Kuanzisha na kuhamasisha mafunzo ya uskauti kwa vijana wa Zanzibar na Dunia. 2. Kunganisha skauti wote dunian mahala pamoja bila ya kujali hali, dini, rangi wala kabila. 3.Kuendeleza na kuhamasisha ushirikiano na maelewano miongoni mwa jamii na maskauti 4.Kuandaa mtaala utaochangia kujenga muundo wa ufundishaji waskauti katika jamii 5. Kuhamasisha maskauti kushiriki katika shughuli za jumuia zote zenye malengo sawa na yetu.
Other Websites
Sectors
Location
Kwahani Baja Zanzibar, Zanzibar West, Tanzania
See nearby organizations