Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

msaada huu wa mavazi umewanufaisha watoto waliokuwa hawana mavazi kwa kupata mavazi yanayoendana na msimu kama huu wa baridi

mashirika na wadau wengine kama winlock wametoa misaada kwa watoto kama vile nguo za shule na vifaa vya shule

-msaada huu kutoka kwa wadau wengine umewanufaisha watoto ambao walikuwa wanashindwa kwenda shule kwa kukosa nguo za shule na vifaa vya shule

Caretakers wamejengewa  uwezo juu ya jinsi ya kuwatunza watoto kupitia kipato walichonacho kwenye makundi yao.

Kupitia worth group maisha ya caretakers yamebadilika kutokana navikundi vya biashara ndondogo ujasiriamali.

Mvc wamepata matumaini kupitia children clubs.

Familia zimepatiwa ushauri kutumia rasirimali walizonazo ili kuwapatia watoto chakula na lishe.

strengthen the capacity of district outhorites and MVCC to manage the mvc program in their district and or community

-repicate effective mult-secretorial coordination structures that effectively include public/private partnerships at district and village levels, with representative engaged from all key stakeholders (children,community groups, servise providers, local goverment and private sector)

explanation of deviation from work plan

baadhi ya MVCCs hawana elimu ya kusoma wala kuandika hali iliyopelekea kushindwa kutoa takwimu sahihi za MVCs.

 

c)baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mzingira hatarishi hawawezi kuandika na kusoma vizuri.

d)kamati zikaguliwe ili kuweza kujua ni wanakamati wangapi wanauwezo wa kuandika na kusoma vizuri na ni wangapi hawajui kusoma na kuandika.

e)nimejifunza kwamba wakati walipokuwa wanateuliwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo.

f)kamati zifanyiwe marekebisho

g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe watakao kuwa na vigezo vya kuweza kuwa katika kamati.

h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo ... wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa pamoja tuwalee

elimu zaidi iendelee kutolewa kwa wanakamati ili wajue kazi na majukumu yao ili utendaji wao wa kazi uwe mzuri

wanakamati wapewe semina angalau mara moja kwa kila mwezi ili wakumbushwe majukumu yao

katika kijiji cha matagata nimefanya id upya na kuwabaini mvcc wapatao

kuna baadhi ya mvccs wamehama, kwahiyo wanao wajibika kufanya kazi ni wachache

tayari nimesha waingiza wanakamati wapya ili wazibe nafasi za walio hama

mvccs wanahitaji mafunzo zaidi ili waweze kujua wajibu wao katika mradi huu wa pamoja tuwalee

 

c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri.

d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika.

e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo

f)Kamati zifanyiwe marekebisho

g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika

h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo..wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku, hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa Jali Watoto