Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Caretakers wamejengewa uwezo juu ya jinsi ya kuwatunza watoto kupitia kipato walichonacho kwenye makundi yao.
Kupitia worth group maisha ya caretakers yamebadilika kutokana navikundi vya biashara ndondogo ujasiriamali.
Mvc wamepata matumaini kupitia children clubs.
Familia zimepatiwa ushauri kutumia rasirimali walizonazo ili kuwapatia watoto chakula na lishe.
July 13, 2012