Hii ni Nembo ya Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)
Ndg. Hassan Luheko Mnaute, Mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)
Kushoto ni mratibu wa mradi Ndg. Hassan Luheko Mnaute, kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT (OLAI) Ndg. Salum Said Mnaguluta.
Kushoto aliekaa ni Mratibu wa mradi Ndg. Hassan Luheko Mnaute, na aliesimama ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Tandahimba Mh. Ally Nalinga Ndingo akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na OLAI kwa ufadhili wa The Foundation.
Washiriki wa mafunzo ya Sheria ya Ardhi Na. 5, wakiwa kwenye ukumbi wa chakula Februali 2014
Miongoni mwa washiriki wa mafunzo, wakiwa katika makundi ya majadiliano kuhusu mada zilizoongelewa na wawezeshaji.
OLAI huwa inatekeleza miradi yake kwa kuyashirikisha makundi yote wakiwemo wakemavu. Waonekanao ni miongoni mwa walemavu washiriki katika mafunzo ya sheria ya Ardhi mwaka 2012, CHAUME wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara~Tanzania.
Kushoto ni mwandishi wa habari wa gazeti la majira Ndg. Godwin Msalichuma, akiwa kwenye ukumbi wa mafunzo ya sheria ya Ardhi yaliyoandaliwa na OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society, Februal 2014.
Washiki wa washar/mafunzo ya sheria ya Ardhi Na. 5 vijiji ya mwaka 1999 na kanuni zake za mwaka 2002, yaliyoandaliwa na OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society. Mafunzo yaliyohusha kata 5 za Mkwiti, Ngunja, Litehu, Luagala na Nambahu katika wilaya ya Tandahimba Mkoa wa Mtwara-Tanzania