Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Kushoto ni mratibu wa mradi Ndg. Hassan Luheko Mnaute, kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT (OLAI) Ndg. Salum Said Mnaguluta.

August 1, 2014
« Previous Next »

Comments (2)

HASSAN LUHEKO MNAUTE (Kijiji cha Sokoine, Kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba ~ Mtwara, Tanzania) said:
OLAI ni shirika lisilo la kiserikali lenye Bodi ya wakurugenzi ambayo ni chombo huru inayoundwa na wajumbe 8, saba kutoka katika jamii, na 1 ni Mw/kiti wa OLAI ambae ni katibu wa bodi. Wajumbe hao 4 wanaume na 3 ni wanawake. Miongoni mwa kazi ya bodi ni kuhahakisha, watendaji wa shirika na shirika linatekeleza majukumu yake. Uhusiano popote, ni muhimu katika mashirika, na jamii kwa ujumla.
August 16, 2014
HASSAN LUHEKO MNAUTE (CHAUME, TANDAHIMBA, MTWARA ~TANZANIA) said:
Ipo haja sasa Asasi za kiraia, kujipanga ili kupambana na changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii, kwa lengo la kuiletea maendeleo. Kwa maana ileile ya kuwa Asasi za kiraia hutoa mchango mkubwa wa kimaendeleo katika jamii kwa kushirikiana na serikali.
September 6, 2014

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.