Log in
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
OLAI ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2010 na kupata usajili katika wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto mwaka 2011. Ofisi za makao makuu zipo kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, Wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara Tanzania.
Latest Updates
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT added 3 News updates.
Ndg. Hassan Luheko Mnaute.
September 4
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT added a News update.
Ndg. Hassan Luheko Mnaute akifafanua jambo la mwezeshaji Mdg. Feruz kutoka idara ya ardhi, wilaya ya Tandahimba katika mkutano wa kupitisha mpango wa matumizi bora ya ardhi, wakati wa utekelezaji wa mradi wa kuwajengea uwezo wananchi, wajumbe wa mabaraza ya ardhi ya vijiji na kata, kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka... Read more
August 12
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT added 2 News updates.
Mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement
April 26
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT added a News update.
Ndg. Hassan Luheko Mnaute, mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)
January 23
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT added a News update.
Ni ndg. Hassan Luheko Mnaute, kiongozi wa OLAI, akisisitiza jambo la mwezeshaji katika mkutano wa hadhara wa uhamasizaji Ndg. Feruz kutoka idara ya ardhi ya wilaya Tandahimba, kuhusu kuizingatia sheria 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 katika kijiji cha Nachunyu kilichopo wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara - Tanzania. Read more
January 16
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT added a News update.
Aliyesimama na kipaza sauti ni Ndg. Hassan Luheko Mnaute, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 kwa wananchi wa kijiji cha Likolombe kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara - Tanzania, wakati wa utekelezaji wa mradi uliofadhiliwa na The... Read more
May 30, 2017
Sectors
Location
Tandahimba Sokoine, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations