Fungua
Nuru Halisi

Nuru Halisi

Wilaya ya Ilala Ukonga Mazizini, Tanzania

Katibu wa Nuru Halisi akiwa na viongozi wa kikundi cha Nuru Development Group(KIMANU) katika moja ya vikao vyake. Kikundi hiki tayari kimeanzisha mradi wa uyoga na kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo.

31 Agosti, 2010
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Mussa P. M. Kamtande (Mshauri na Mratibu wa kikundi cha WEMA) (Mkalapa Ndanda) alisema:
Wana-WEMA wanawapongeza wanakikundi cha NURU HALISI kwa kazi nzuri mnayoifanya, kazi ambayo inadhihirisha jina la kikundi chenu. Tunajifunza mengi kutoka kwenu. Wana-WEMA wanawatakia kila la kheri katika shughuli zenu.
27 Februari, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.