
BANGOLETU SIKU HIYO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

FURAHA BAADA YA KUTANGAZWA WASHINDI

VINGOZI HAWA WALIKUWA NA SHAUKU YA KUTOA ZAWADI KWA KILA ASASI YA KIRAIYA ILIYOHUDHURIA PALE LAKINI VIGEZO IKAWA NI HISTORIA KATIKA NYANJA YA USAFI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA AMBAYO NURUHALISI TUNAJIVUNIA.HIVYO TUKAWA WASHINDI

KATIBU NURUHALISI TAIFA ALITOKA DODOMA HADI DAR KUSHUHUDIA UPEWAJI TUZO

SHANGWE BAADA YA KUTANGAZWA WASHINDI

SHANGWE BAADA YA KUTANGAZWA WASHINDI

KWANZA YALIANZA MAANDAMANO NURUHALISI TUKIWA MBELE

KWANZA YALIANZA MAANDAMANO NURUHALISI TUKIWA MBELE

SHANGWE BAADA YA KUTANGAZWA WASHINDI

KILAMMOJA ALIDAI KULIBEBA KOMBE HAKIKA ILIVUTIA SI KIFANI