LENGO KUU LA NEW VISION GROUP.
Ni Kujikwamua na maadui wakuu watatu ambao ni umasikini, maradhi na ujinga kwa kubadili fikra za kimaisha katika utashi na mtazamo.
Madhumuni makuu ya NVG.
I/Kubuni na kuibua miradi ya kiuchumi na kuendesha pamoja ili kujenga uwezo wa mwana NVG.
II/Kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya namna bora ya kujikwamua na umasikini,maradhi na ujinga.
III/Kukuza uelewa na utambuzi binafsi juu ya uhuru wa kipato.
Latest Updates
NEW VISION GROUP( muono mpya) added Open Mind Tanzania to its list of Partner Organizations.
Zaidi katika kutatua changamoto zinazowakumba vijana kwenye jamii yetu ya kitanzania
April 23, 2015
NEW VISION GROUP( muono mpya) updated its History page.
Kikundi hiki kimeanzishwa leo tarehe 6/2/2015 hapa GOLD CREST HOTEL, Baada ya wanakikundi kutafakari juu ya namna bora ya kuboresha hali zao za kimaisha na kuona kuwa kuna haja ya kuanzisha kikundi chenye malengo ya kujikwamua na maadui wakuu watatu yaani umasikini,maradhi na ujinga... Read more
April 23, 2015

NEW VISION GROUP( muono mpya) added 2 News updates.
Hii ndio ndoto kubwa kwa kila mmoja wetu anayetaka kuwa na mafanikio. Na usianze kujiuliza maswali ya watu walioshindwa maisha. kwa mfano wao hujiuliza maswali kama 1.ningwekeza lakini sina fedha za kutosha. – 2. wakuwekeza niwe mimi mhuu haujawaona wakuwekeza ni kina Mengi n.k ... Read more
March 10, 2015
NEW VISION GROUP( muono mpya) updated its History page.
Kikundi hiki kimeanzishwa leo tarehe 6/2/2015 hapa GOLD CREST HOTEL, Baada ya wanakikundi kutafakari juu ya namna bora ya kuboresha hali zao za kimaisha na kuona kuwa kuna haja ya kuanzisha kikundi chenye malengo ya kujikwamua na maadui wakuu watatu yaani umasikini,maradhi na ujinga... Read more
March 10, 2015
NEW VISION GROUP( muono mpya) updated its Home page.
LENGO KUU LA NEW VISION GROUP. – Ni Kujikwamua na maadui wakuu watatu ambao ni umasikini, maradhi na ujinga kwa kubadili fikra za kimaisha katika utashi na mtazamo. – Madhumuni makuu ya... Read more
February 27, 2015

NEW VISION GROUP( muono mpya) added a News update.
Bila maono ni sawa na kukesha ukimuomba Mungu akuepushe na malaria baada ya kuchoma chandurua.
February 27, 2015
Sectors
Location
Mwanza, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations