Envaya

/NVG: Kinyarwanda: WIubbv7TWUyZSxcNslfZTzUN:content

Base (Igiswayire) Kinyarwanda

  LENGO KUU LA NEW VISION GROUP.

Ni Kujikwamua  na maadui wakuu watatu ambao ni umasikini, maradhi na ujinga kwa kubadili fikra za kimaisha katika utashi na mtazamo.

Madhumuni makuu ya NVG.

I/Kubuni na kuibua miradi ya kiuchumi na kuendesha pamoja ili kujenga uwezo wa mwana NVG.

II/Kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya namna bora ya kujikwamua na     umasikini,maradhi na ujinga.

III/Kukuza uelewa na utambuzi binafsi juu ya uhuru wa kipato.

 

 

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe