Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Jumaa Dhahabu akiwa katika milima ya Kiunguni ilioko katika kijiji cha Kiluwai Mankole
Comments (0)
majengo ya umeme ya katika kata ya Vuga jimbo la Bumbuli wilaya ya Lushoto
Jumaa Dhahabu akiwa katika maeneo ya Kibanda katika Kitongoji cha Ndolwa kata ya Vuga
Jumaa Dhahabu na Mzee Athumani Shengovi wakiwa katika milima ya Kiunguni ilioko katika kijiji cha Kiluwai Mankole
Kijiji cha Kiluwai katika Kata ya Vuga Jimbo la Bumbuli Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga
Shehe wa Kata ya Vuga jimbo la Bumbuli akiwa katika eneo la mkutano kwa kusubili kuingia katika mkutano huo
baadhi ya washiriki wakishuka katika gari wakiwa tayari kuelekea ukumbi wa Mkutano