Envaya

UTANGULIZI

CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA ,ni shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi  Tanzania nzima ambapo makao makuu ya shirika yapo kjiji cha Bazo kata ya vuga Jimbo la Bumbuli Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga-Malengo ya CHAMAKIVU ni:-

      Kuelimisha jamii juu ya maswala ya kilimo na ufugaji

      Kuelimisha jamii juu ya maswala ya haki za Binadamu

 

CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA(CHAMAKIVU) lilianzishwa rasm taehe 25 mwezi 6 mwaka 2006 lina wanachama 15 wa kujitolea wakiwa na lengo la kufikisha taarifa sahihi katika ngazi ya Kaya.

 

SHUGHULI ZA SASA ZA SHIRIKA.

1)     kuelimisha jamii juu ya kusimamia akiba ya chakula na biashara

2)     kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya zana bora za kilimo

3)     Kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa vikundi vya kijamii

4)     Kuyasaidia makundi yaliopo katika mazingira magumu.

5)     Kuelimisha jamii juu udhalishaji wa mazao na bustani

6)     Kuelimisha jamii juu ya matumizi ya mbolea

7)     Kuelimisha jamii juu ya kilimo cha umwagiliaji

8)     Kuelimisha jamii juu ya kudhalisha mazo kwa nishati mbadala

 

     Shirika linatekeleza shughuli zote zilizotajwa hapo juu kwa  

     kujitolea na huku likijitahidi kuhamasisha makundi mengine  

     kushirikiana nayo katika utekelezaji wake.