Parts of this page are in Swahili. Edit translations
NAFASI ZA KUJITOLEA: MSAIDIZI WA OFISI- AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE, AWE ANAJUA COMPUTER, AWE NA UWEZO WAKUINGIZA TAARIFA KATIKA TOVUTI.
MAHALA PAKAZI: KATA YA VUGA WILAYA YA LUSHOTO HALIMASHAURI YA BUMBULI MKOA WA TANGA.
MUDA WA KAZI NA SIKU ZA KAZI:JUMATATU-IJUMAA.. JUMAMOSI NUSU SIKU.. KUANZIA ASUBUHI 2:00-10:30 JIONI.KUANZIA APRIL 30/2013-APRIL 30/2014..
MALIPO: MALAZI,CHAKULA VITAKUWEPO, POSHO MAELEWANO.
MWISHO WA MAOMBI: NI TAR 10 APRIL 2013..
USAILI: NI TAR 15 APRIL 2013.. KATIKA OFISI YA CHAMAKIVU VUGA
MAWASILIANO: DHAHABU JUMAA- MRATIBU +255716215064/+255785810064 E-mail vugalushoto@yahoo.com.. S.L.P 112 SONI LUSHOTO TANGA.