Kikundi cha ngoma kijulikanacho Mount Usambara Voice kikitoa burudani katika mkutano huo
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano mama makamba na mratibu wa Chamakivu Jumaa Dhahabu wakijadiliana mambo mbalimbali baada ya mkutano huo kumalizika
mratibu wa chamakivu Jumaa Dhahabu akiwa na meneja miradi wa mfuko wa maendeleo wa jimbo la Bumbuli jijini Dar
Wakazi wa Jimbo la Bumbuli waishio Dar na Pwani wakiwa katika mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba katika ukumbi wa karemjee jijini Dar
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano na mratibu wa Chamakivu Jumaa Dhahabu wakijadiliana mambo mbalimbali baada ya mkutano huo kumalizika
Wakazi wa Jimbo la Bumbuli waishio Dar na Pwani wakiwa katika mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba katika ukumbi wa karemjee jijini Dar
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba akiongea na wananchi wa jimbo la Bumbuli waishio Dar na Pwani juu ya maswala ya Maendeleo ya Jimbo lao
Januari Makamba akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano na mratibu wa Chamakivu Jumaa Dhahabu wakijadiliana mambo mbalimbali baada ya mkutano huo kumalizika
waishio Dar na Pwani wakiwa katika mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba katika ukumbi wa karemjee jijini Dar wakijadili maendeleo ya jimbo lao
Wakazi wa Jimbo la Bumbuli waishio Dar na Pwani wakiwa katika mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba katika ukumbi wa karemjee jijini Dar