Akina mama hawa kwa kutumia E-learning(Elimu mtandao) wameanza kuona umuhimu wa Computer.Ni vema kuhakikisha kuwa sisi watanzania tunawaza kwa ajili ya baadaye tufikie mahali ambapo kila mjasiriamali au mtu yeyote apate information kirahisi hata kupata anachohitaji kwa njia hii nyepesi
Ibitekerezo (1)