Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. |
Envaya inaweza kutumika kwenye simu yoyote yenye uwezo wa intaneti. Envaya inafanya kazi hata kwenye simu nyingi za zamani, na simu zenye intaneti polepole sana. Ili kutumia Envaya kwenye simu yako, fungua kivinjari ya simu yako na na ingiza anwani envaya.org . Kupitia simu yako, unaweza kusoma habari zilizochapishwa na mashirika juu ya Envaya, kuandika maoni, kuongeza ujumbe kwenye majadiliano, na hata kufungua na kuchapisha habari na picha kwenye tovuti yako. Kubadilisha kati ya Simu na KawaidaKwa kawaida, Envaya inaonyesha toleo la Simu kama unatumia simu ya mkononi. Hata hivyo, wakati mwingine unaweza kubadili kati ya matoleo ya kawaida na simu ya Envaya. Ili kubadili matoleo, tembeza ("scroll") kwa chini ya ukurasa na kubonyeza Standard au Simu, kama hapo chini: Kwa mfano, kama unatumia kivinjari kwenye kompyuta yenye intaneti polepole sana, unaweza kubadili kwa toleo la Simu ili kutumia Envaya kwa kasi zaidi. Au, kama unatumia "smartphone" yenye kivinjari kipya, unaweza kubadili kwa toleo la Kawaida ili kutumia uwezo ambao haupatikani katika toleo la Simu. |
Historia ya tafsiri
|