Log in

Translations: Kiswahili (sw): Translators: Jesse Young (youngj)

Name Jesse Young (youngj)
Last update May 9, 2014
Translations 105
Votes 88

Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
WIZBhk351i2q8ZRxEtq4XWZo:contentEffortless mobile messaging for your NGO - special Envaya discount – Dear Envaya Users and Supporters, – I’m excited to tell you about ...Huduma za SMS kwa ajili ya Shirika Lako - Ofa kwenye Envaya – Habari wadau na washiriki wa Envaya, – Ninafuraha kubwa ya kuwaeleza kuhusu Telerivet, huduma ya ujumbe mfupi iliyoundwa na timu ile ile iliyounda Envaya. – Telerivet inasaidia kufanya utumaji wa Ujumbe Mfupi kuwa rahisi sana kwa ajili ya shirika lako kuwasiliana haraka na jamii yake -- hata wale wasiokuwa na simu za...youngjMay 9, 2014
WIbx5ePTramFA79xJeOL5W1u:contentNetworking and Fundraising Tips for CBOs and NGOs – What makes your Organization a credible NGO? One that's worth funding, respected by the general public and recognized by the government? Here are a few things you may already know, but take for granted, or maybe you just keep putting them off for another day. – In Tanzania, the work of NGOs is coordinated and monitored under the Ministry of Community Development, Gender and Children which is found...Dondoo na Vidokezo kuhusu Uzalishaji kwa ajili ya CBOs na NGOs – Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? – Kuna vitu ambavyo unaweza ukawa unavijua lakini unavipuuzia ingawa vina umuhimu sana na kazi unazozifanya katika jamii...makala hii itagusia...youngjDecember 4, 2012
WIhyS0SsVl3zMWsDRHv1fXnF:contentWhat makes your organization a credible NGO? One that's worth funding, respected by the general public and recognized by the government? – According to research carried out by REPOA, about 60% of funding for NGOs in Tanzania comes from foreign donors and international NGO’s. Funding is one of the most important and sometimes stressful aspects of the work of NGO’s, and learning effective fundraising mechanisms is very important. – Do you have any...Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? Liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? Liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? – Kutokana na ufwatiliaji uliofanywa na REPOA, takriban asilimia 60% ya ruzuku kwaajili ya mashikia yasiokuwa ya kiserikali nchini Tanzania zinatokana na mashirika ya kimataifa. Upataji na ufwatiliaji wa ruzuku ni moja kati ya kazi muhimu sana na pia yenye changamoto nyingi sana kwa mashirika yasiokuwa ya kiserikali....youngjDecember 4, 2012
WIhyS0SsVl3zMWsDRHv1fXnF:titleNetworking and Fundraising Tips for CBOs and NGOsDondoo na Vidokezo kuhusu Uzalishaji kwa ajili ya CBOs na NGOsyoungjDecember 4, 2012
WIhyS0SsVl3zMWsDRHv1fXnF:titleNetworking and Fundraising Tips for CBOs and NGOsDondoo na Vidokezo kuhusu Uzalishaji kwa ajili ya CBOs na NGOyoungjDecember 4, 2012
WIbx5ePTramFA79xJeOL5W1u:contentNetworking and Fundraising Tips for CBOs and NGOs – What makes your Organization a credible NGO? One that's worth funding, respected by the general public and recognized by the government? Here are a few things you may already know, but take for granted, or maybe you just keep putting them off for another day. – In Tanzania, the work of NGOs is coordinated and monitored under the Ministry of Community Development, Gender and Children which is found...DONDOO NA VIDOKEZO KUHUSU UZALISHAJI KWAAJILI YA CBO's NA NGO – Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? – Kuna vitu ambavyo unaweza ukawa unavijua lakini unavipuuzia ingawa vina umuhimu sana na kazi unazozifanya katika jamii...makala hii itagusia...youngjDecember 4, 2012
WI4tThFgs4MgTsbU20Z0kiKz:contentTHE OVERALL 2012 CENSUS EXECUTION IN TANZANIA – Tanzania’s fourth national census since independence started on August 26. The exercise is carried out every decade and it is an essential part of national development and establishing the number of Tanzanians in the soul of national development planning. The Population and Housing Census yields information that...UTEKELEZAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA MWAKA 2012 – Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima.Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze...youngjOctober 25, 2012
WIAtZ2smTOq9KQTiVuol5mHQ:contentTanzania’s fourth national census since independence started on August 26. The exercise is carried out every decade and it is an essential part of national development and establishing the number of Tanzanians in the soul of national development planning. – However, the census has not received universal support. We heard several members of the community threatening to boycott enumerators, and civilians, religious leaders and...Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo. – Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili tulisikia juu ya...youngjOctober 25, 2012
WIAtZ2smTOq9KQTiVuol5mHQ:contentTanzania’s fourth national census since independence started on August 26. The exercise is carried out every decade and it is an essential part of national development and establishing the number of Tanzanians in the soul of national development planning. – However, the census has not received universal support. We heard several members of the community threatening to boycott enumerators, and civilians, religious leaders and...Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo. – Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili tulisikia juu ya kugoma kwa makalani kutokana na kwamba...youngjOctober 25, 2012
WIAtZ2smTOq9KQTiVuol5mHQ:contentTanzania’s fourth national census since independence started on August 26. The exercise is carried out every decade and it is an essential part of national development and establishing the number of Tanzanians in the soul of national development planning. – However, the census has not received universal support. We heard several members of the community threatening to boycott enumerators, and civilians, religious leaders and...Maoni kuhusu Utekelezaji wa Sensa kwa Mwaka 2012 – Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo. – Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili...youngjOctober 25, 2012
WIAtZ2smTOq9KQTiVuol5mHQ:titleOpinions on the Execution of the 2012 Census in TanzaniaMaoni kuhusu Utekelezaji wa Sensa kwa Mwaka 2012youngjOctober 25, 2012
WI4tThFgs4MgTsbU20Z0kiKz:contentTHE OVERALL 2012 CENSUS EXECUTION IN TANZANIA – Tanzania’s fourth national census since independence started on August 26. The exercise is carried out every decade and it is an essential part of national development and establishing the number of Tanzanians in the soul of national development planning. The Population and Housing Census yields information that...UTEKELEZAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA MWAKA 2012 – Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima.Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo katika sekta...youngjOctober 25, 2012
WIPktL7DZ8JQFeF05LfZfkGT:contentVolunteerism in East Africa – The basic concept of Volunteering is not foreign to any individual, it is simply giving of your time, abilities, knowledge and services for the good of the community in large, without expecting any reward or compensation. Volunteering is one of the main ways that common citizens get involved in a vision to build their community. – There has been a huge emphasis...Kujitolea katika Afrika Mashariki – Neno Kujitolea si geni kwa mtu yeyote, ni kutoa muda wako, uwezo, maarifa na huduma mbalimbali kwa manufaa ya jamii kwa ujumla, bila kutarajia malipo yoyote au fidia. Kujitolea ni moja ya njia kuu ambayo raia wa kawaida wanaweza kuitumia katika kuendeleza Jamii zao.. – Kumekuwa na juhudi za muda miaka mingi sasa jinsi Waafrika wanavyopaswa kujipatia maendeleo yao...youngjMay 14, 2012
WIJIfILKhdJvt1KaWI2IySZ9:contentVaccination Week in Tanzania – This week is Vaccination Week in Tanzania, which commenced on 23rd April and will end on 28th April. Nationally this event was held in Mwanza City Northern part of Tanzania under the theme “A child that is not immunized is one too many. Give polio the final push”. The theme draws attention to the urgent need for accelerated actions to save children from vaccine-preventable diseases. ...Wiki ya Chanjo nchini Tanzania – Wiki hii ni wiki ya chanjo nchini Tanzania. Tukio hili limeanza rasmi tarehe 23 na litamalizika tarehe 28 ya mwezi huu wa nne. Kitaifa Tukio hili linafanyika Mkoani Mwanza lenye kauli mbiu “ Watoto wasiochanjwa ni wengi. Tokomeza ugonjwa wa Polio” Maudhui ya kauli mbiu hii ni kuchukua hatua za haraka katika kuokoa maisha ya watoto kutokana na magonjwa yanayozuilika kwa njia ya chanzo. – Hii ni fursa pekee kwa...youngjApril 28, 2012
WI000D0E1AEC551000099109:contentDar es Salaam Flooding Community Survey – Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community. – Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with...Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ...youngjJanuary 29, 2012