Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

How did the flooding affect your own property and possessions?

Duka langu lilikuwa limejaa vitu vya thamani kama ya shilingi millioni mbili.Vyote vimesombwa na maji.Achilia vyombo vyangu vya ndani.
Vitu vyangu imekuwa ni hasara tupu.Vitu vilivyookoka baada ya mafuriko nimelazimika kuviuza ili nipate hela ya angalau kodi ya chumba kimoja kisicho na umeme.
« Previous questionNext question »

« Back to report