Respondent: | Africa Upendo Group |
---|---|
Time Submitted: | 13 Mutarama, 2012 at 19:49 EAT |
Wilaya ya Kinondoni - Mtaa wa Mwongozo - Makuburi (Karibu na TIOT Bar -Naitwa Eng.Emanuel Moto Msongole)
Makazi,vifaa vya ndani,vivuko kama madaraja,Miundo mbinu imeharibika sana kama barabara umeme n.k
Ukuta umevunjika,vitu vya ndani vimeharibika,Magari na bajaji vimeharibika na bajaji mbili zimepotea.Fridge,Makochi,Magodoro n.k vimeharibika sana
Kwa kweli nimeadhirika hata kiakili sijui hata nianzie wapi.sina hela,vyombo vyote vimeharibika.Sina tena usafiri,sina mahali pa kuishi.Watoto wanapata shida sana
Maji hayafai kabisa kutumika tena kwani yana uchafu mwingi sana na yamebadilika rangi na kuwa ya kijani sana.
Before flooding: dk.45 | Now: 1.45 |
« Back to report