Respondent: | Africa Upendo Group |
---|---|
Time Submitted: | 13 Januari, 2012 20:31 EAT |
Kinondoni - Mtaa wa Mwongozo.Mpakani mwa Kinondoni Na Ilala -TIOT Bar (Lucas Mwalugelo)
Madaraja,Makazi,Vyakula,Nguo,Barabara,Fedha za kujikimu,Maji safi,Umeme,Kujengewa Miundo mbinu kama zile zilizoharibiwa na mafuriko
Mafuriko yamevunja kabisa Ukuta wa nyumba yangu baada ya maji kutoka kwenye petrol station kuvunja ukuta na kuingia kwangu.Imeondoa mali zangu kama viti,meza,vyumba vya kulala wageni na vifaa vyote vya ndani kama Magodoro,TV,Air Conditions zote hazifai tena.Nguo,Mashiti nk hazifai tena.
Hakuna biashara kabisa kwani sina hela na nimeadhirika kiakili sijui wapi pa kuanzia tena.Vitu vyote havifai kabisa. na Njia zimeharibika na madaraja kiasi kuwa nakosa kabisa mawasiliano
Maji hayafai kabisa ni kijani na hayafai kwa binadamu kabisa.
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu) | Sasa: (Hakuna jibu) |
« Rudi nyuma kwenye ripoti