Injira
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA)

UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA)

Kigoma Ujiji, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

DIRA YA UBOMA

Kuwa asasi ya Mfano inayochangia katika utawala bora na maendeleo ya Taifa yanayowezesha wananchi kuheshimu haki za binaadamu na kuchangia harakati za Upunguzaji wa umasikini na kuchangia       upatikanaji wa maisha bora na endelevu kwa wanawake, wanaume na makundi yaliyo pembezoni

DHAMIRA YA UBOMA

Kupitia njia SHIRIKISHI, UBOMA ina     jukumu la Kuiwezesha jamii kutambua   matatizo yanayoikabili, kujadili vyanzo na athari zake na hatimaye kuweka mikakati ya pamoja ya utatuzi wake; ikiwa ni pamoja na jamii yenyewe kusimamia mikakati hiyo kwa kutumia rasilimali zilizopo.

Katika kazi zake zote; UBOMA huzingatia UADILIFU, UWAZI, UWAJIBIKAJI,     UBUNIFU, KUJIFUNZA, UPENDO, USHIRIKIANO na HESHIMA.

 

 

Amakuru agezweho
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) yashyizeho Amakuru agezweho.
Eneo la Kibirizi Kigoma Mjini ambalo Uboma ilifanya uchunguzi na kubaini jinsi wananchi wasivyoshiriki katika usimamizi wa rasilimali za umma za Sekta ya Uvuvi
23 Kanama, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) yakoze Imishinga paje.
MADHUMUNI NA KAZI ZA UBOMASERA – 1. Kujenga ufahamu miongoni mwa jamii kuhusu umuhimu wa kushiriki katika uandaaji wa Sera mbalimbali za Taifa. – 2. Kuikumbusha Serikali kuhusu haki ya wananchi kushirikishwa katika... Soma ibindi
23 Kanama, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) yakoze Amateka paje.
KUHUSU UBOMA. – Utawala Bora kwa Maendeleo (UBOMA) ni asasi isiyo ya kiserikali, isiyolenga kupata faida binafsi iliyoanzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa Machi 26’ 2010 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto kwa hati yenye namba OONGO 3798. – UBOMA ilianzishwa kwa lengo la... Soma ibindi
23 Kanama, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) yashyize The Foundation for Civil Society ku rutonde rwe rwa ibigo by'abafatanya bikorwa
23 Kanama, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) yakoze Ikipe paje.
Na. – Jina kamili – Jinsia – Wadhifa – Kiwango cha Elimu ... Soma ibindi
23 Kanama, 2011
Ibyiciro
Aho uherereye
Kigoma Ujiji, Kigoma, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye