Log in
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA)

UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA)

Kigoma Ujiji, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

DIRA YA UBOMA

Kuwa asasi ya Mfano inayochangia katika utawala bora na maendeleo ya Taifa yanayowezesha wananchi kuheshimu haki za binaadamu na kuchangia harakati za Upunguzaji wa umasikini na kuchangia       upatikanaji wa maisha bora na endelevu kwa wanawake, wanaume na makundi yaliyo pembezoni

DHAMIRA YA UBOMA

Kupitia njia SHIRIKISHI, UBOMA ina     jukumu la Kuiwezesha jamii kutambua   matatizo yanayoikabili, kujadili vyanzo na athari zake na hatimaye kuweka mikakati ya pamoja ya utatuzi wake; ikiwa ni pamoja na jamii yenyewe kusimamia mikakati hiyo kwa kutumia rasilimali zilizopo.

Katika kazi zake zote; UBOMA huzingatia UADILIFU, UWAZI, UWAJIBIKAJI,     UBUNIFU, KUJIFUNZA, UPENDO, USHIRIKIANO na HESHIMA.

 

 

Latest Updates
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) added a News update.
Eneo la Kibirizi Kigoma Mjini ambalo Uboma ilifanya uchunguzi na kubaini jinsi wananchi wasivyoshiriki katika usimamizi wa rasilimali za umma za Sekta ya Uvuvi
August 23, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) created a Projects page.
MADHUMUNI NA KAZI ZA UBOMASERA – 1. Kujenga ufahamu miongoni mwa jamii kuhusu umuhimu wa kushiriki katika uandaaji wa Sera mbalimbali za Taifa. – 2. Kuikumbusha Serikali kuhusu haki ya wananchi kushirikishwa katika... Read more
August 23, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) created a History page.
KUHUSU UBOMA. – Utawala Bora kwa Maendeleo (UBOMA) ni asasi isiyo ya kiserikali, isiyolenga kupata faida binafsi iliyoanzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa Machi 26’ 2010 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto kwa hati yenye namba OONGO 3798. – UBOMA ilianzishwa kwa lengo la... Read more
August 23, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) added The Foundation for Civil Society to its list of Partner Organizations.
August 23, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) created a Team page.
Na. – Jina kamili – Jinsia – Wadhifa – Kiwango cha Elimu ... Read more
August 23, 2011
Sectors
Location
Kigoma Ujiji, Kigoma, Tanzania
See nearby organizations