Fungua
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA)

UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA)

Kigoma Ujiji, Tanzania

DIRA YA UBOMA

Kuwa asasi ya Mfano inayochangia katika utawala bora na maendeleo ya Taifa yanayowezesha wananchi kuheshimu haki za binaadamu na kuchangia harakati za Upunguzaji wa umasikini na kuchangia       upatikanaji wa maisha bora na endelevu kwa wanawake, wanaume na makundi yaliyo pembezoni

DHAMIRA YA UBOMA

Kupitia njia SHIRIKISHI, UBOMA ina     jukumu la Kuiwezesha jamii kutambua   matatizo yanayoikabili, kujadili vyanzo na athari zake na hatimaye kuweka mikakati ya pamoja ya utatuzi wake; ikiwa ni pamoja na jamii yenyewe kusimamia mikakati hiyo kwa kutumia rasilimali zilizopo.

Katika kazi zake zote; UBOMA huzingatia UADILIFU, UWAZI, UWAJIBIKAJI,     UBUNIFU, KUJIFUNZA, UPENDO, USHIRIKIANO na HESHIMA.

 

 

Mabadiliko Mapya
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) imeongeza Habari.
Eneo la Kibirizi Kigoma Mjini ambalo Uboma ilifanya uchunguzi na kubaini jinsi wananchi wasivyoshiriki katika usimamizi wa rasilimali za umma za Sekta ya Uvuvi
23 Agosti, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) imeumba ukurasa wa Miradi.
MADHUMUNI NA KAZI ZA UBOMASERA – 1. Kujenga ufahamu miongoni mwa jamii kuhusu umuhimu wa kushiriki katika uandaaji wa Sera mbalimbali za Taifa. – 2. Kuikumbusha Serikali kuhusu haki ya wananchi kushirikishwa katika... Soma zaidi
23 Agosti, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) imeumba ukurasa wa Historia.
KUHUSU UBOMA. – Utawala Bora kwa Maendeleo (UBOMA) ni asasi isiyo ya kiserikali, isiyolenga kupata faida binafsi iliyoanzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa Machi 26’ 2010 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto kwa hati yenye namba OONGO 3798. – UBOMA ilianzishwa kwa lengo la... Soma zaidi
23 Agosti, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) imeongeza The Foundation for Civil Society kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
23 Agosti, 2011
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO (UBOMA) imeumba ukurasa wa Timu.
Na. – Jina kamili – Jinsia – Wadhifa – Kiwango cha Elimu ... Soma zaidi
23 Agosti, 2011
Sekta
Sehemu
Kigoma Ujiji, Kigoma, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu