Log in
WANAWAKE TUNAWEZA

WANAWAKE TUNAWEZA

kinondoni, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuelimisha wakina mama wajue haki zao na wajitambue na kuwapeleka panapohusika.

Pia kuelimisha jamii kwa ujumla na kuinua halizao za kujipatia kipato, kwa kujikwamua katokana na hali ya umasikini.

kuunda vikundi mbali mbali vywa ujasilia mali, hata kilimo bustani na mboga mboga na usidikaji, michezo. kugundua vipaji mbali mbali vya vijana katika michezo.

 

Latest Updates
WANAWAKE TUNAWEZA added TANZANIA YOUTH POWER MOVEMENT to its list of Partner Organizations.
Habari,Wanawake Tunaweza hatujafanya mawasiliano yoyote na TANZANIA YOUTH POWER MOVEMENT; tunaomba ufafanuzi zaidi kwani tupo tayari kuwa wabia.
February 24, 2014
WANAWAKE TUNAWEZA added 8 News updates.
DIRA {VISION}YA WATU – Kuwa na jamii ambayo inatambua uwezo na nafasi ya mwanamke katika kuleta maendeleo na fikra potofu kuwa mwanamke hawezi kuzifanya – DHIMA{MISSION}YA WATU – Kutambua fursa na jitihada mbalimbali juu ya jitihada za maendeleo zinazofanywa na wanawake na kuziweka wazi,Pia wanawake wanatumia ujuzi,Maarifa na... Read more
December 6, 2012
WANAWAKE TUNAWEZA added 3 News updates.
November 21, 2012
WANAWAKE TUNAWEZA has a new discussion about MADHUMUNI YA ASASI YA WANAWAKE TUNAWEZA[WATU].
WANAWAKE TUNAWEZA: [1]. Kujenga wanawake,watoto,wazee,vijana katika uwezo wa kiuchumi,kielimu na uongozi – [2]. kusaidia kuboresha afya za wanawake wajawazito,watoto na jamii kwa ujumla kwa – kuwapa eliumu kuhusu lishe,kujikinga na maradhi. – [3].kuboresha hali ya lishe,uzalishaji na usindikaji wa... Read more
September 19, 2012
WANAWAKE TUNAWEZA created a History page.
Asasi ya Wanawake Tunaweza ilianzishwa 05/10/2010 katika mtaa wa PWANI kata ya KUNDUCHI TEGETA wilaya ya KINONDONI,mkoa wa DAR-ES-SALAAM.Ikiwa na wanachama 20.Lengo kuu ilikuwa kuwaunganisha wanawake mbalimbali katika maendeleo na shughuli mbalimbali za kijamii na kitaifa. – Ilisajiliwa rasmi... Read more
September 19, 2012
WANAWAKE TUNAWEZA added a News update.
wanawake tunaweza ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 2010 mwezi wa kumi ' na lilisajiliwa rasmi 2o11 mwezi wa pili' shirika hili linajihusisha na jamii wanawake ,watoto,wazee vijana jamii nzima kwa ujumla
June 23, 2012
Sectors
Location
Mbezi Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations