Log in
WANAWAKE TUNAWEZA

WANAWAKE TUNAWEZA

kinondoni, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Semina ya mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya ya TANZANIA iliyofanyika Tegeta,Ilihusu kuwaelimisha wakinamama juu ya umuhimu wa mchango wao katika kupatikana kwa katiba mpya

wanawake tunaweza ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 2010 mwezi wa kumi ' na lilisajiliwa rasmi 2o11 mwezi wa pili'  shirika hili linajihusisha na jamii wanawake ,watoto,wazee vijana jamii nzima kwa ujumla