Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Lengo ni kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi, kupima virusi vya ukimwi ctc na kutoa ushauri nasaha kwa client wetu, kutoa elimu juu ya unyanyapaa ulio kithiri kisiwani Pemba, kutoa huduma za kijamii kwa watoto mayatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu orphans and vulnerable children.
Latest Updates
walio katika mapambano ya aids tanzania joined Envaya.
May 26, 2011
Sectors
Location
Chake Chake, Pemba South, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations