Fungua
walio katika mapambano ya aids tanzania

walio katika mapambano ya aids tanzania

Chake Chake, Pemba, Tanzania

Lengo ni kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi, kupima virusi vya ukimwi ctc na kutoa ushauri nasaha kwa client wetu, kutoa elimu juu ya unyanyapaa ulio kithiri kisiwani Pemba, kutoa huduma za kijamii kwa watoto mayatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu orphans and vulnerable children.

Mabadiliko Mapya
walio katika mapambano ya aids tanzania imejiunga na Envaya.
26 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Chake Chake, Pemba Kusini, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu