imani yangu ni kwamba mazingira yanamguza kila mtu kwa hali moja na ngingine inapaswa kila mtu ajue yupo kwenye nafasi gani
28 Novemba, 2011
Sifuni Ali Haji (Chake) alisema:
Wengine wanasema jukumu la kutunza mazingira ni la serikali tu mimi sikubali bali ni la watu wate.
28 Novemba, 2011
Deus (Bukoba) alisema:
Mazingira yanaharibiwa bila kujali athari ambazo zinaonekana wazi zinatokea,
ila jamii inahitaji kuendelea kupatiwa elimu ya uhifadhi wa mazingira ili tuepukane
na mabadiliko ya hali ya hewa
25 Septemba, 2013
Kombo (DSM) alisema:
Munajitahidi ila bado mazingira yanaharibiwa, hamuoniii
Elimu ya mazingira inahitajika
Maoni (4)
ila jamii inahitaji kuendelea kupatiwa elimu ya uhifadhi wa mazingira ili tuepukane
na mabadiliko ya hali ya hewa
Elimu ya mazingira inahitajika