je? ni kweli vijana wamekuwa na tatizo kubwa kuhusu kupata maendeleo?
hebu tuzungumzeeeeeeeeeee!
Hivi uamkapo asubuhi ulisha wahi kujiuliza kwanini umezaliwa? na kwanini ujiulizeee? hebu jibu upate makx za kuishi vyemaaa
HAKIKA BINADAMU NI KIUMBE ALIYEPEWA AKILI NYINGI NA UTAMBUZI WA MAMBO KULIKO KIUMBE CHOCHOTE PIA KIJANA NI MTU MWEPESI APASWAE KUFIKILI JAMBO MUHIMU NA KUTOA MAAMUZI SAHIHI YA MAENDELEO