Log in
TUNAWEZA WOMEN GROUP

TUNAWEZA WOMEN GROUP

stakishari ukonga,ILALA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

-kusaidia jamii

-saidia elimu rika kwa mabinti waliomaliza elimu ya msingi

-kutoa mafunzo ya ufundi kwa jamii

-kusaidia yatima

-na kuwezesha wa-vvu

Latest Updates
TUNAWEZA WOMEN GROUP added a News update.
Kutokana nakutokuwa hewani kwa muda mrefu Tunaweza Women Group tunaomba radhi kwani ilikuwa nje ya uwezo wetu, napenda kuwajulisha kuwa hivi sasa tumerudi tena natunaendelea na kazi za kulijenga taifa letu shime wana Azaki tushirikiane – Ahsante wenu katika ujenzi wa taifa – Ariziki Mtambalike...
August 18, 2016
TUNAWEZA WOMEN GROUP added a News update.
Baada ya kumaliza mafunzo yaliyo tuwezesha kuelewa na kuandika mpango mkakati, kanuni na utunzaji wa fedha za asasi, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa uongozi na wafanya kazi wote wa The foundation for civil sociaty kwa kuweza kutuwezesha kufika hapa tulipo. – Pamoja nashukrani hizo pia tunatoa shukrani... Read more
September 6, 2012
TUNAWEZA WOMEN GROUP added 2 News updates.
Ndugu wadau pamoja na wana asasi wote natumaini wote hamjambo pamoja nakuwa wote tuko ndani ya chombo kimoja au boti moja nia na madhumuni nikupata ulimengu wenye usawa na haki maridhawa amani na utulivu.Pamoja nakuwa ndani ya chombo kimoja lakini milango ya kutokea ni tofauti sisi wenzenu wana TUNAWEZA WOMEN GROUP tume azimia kutoa... Read more
May 30, 2012
TUNAWEZA WOMEN GROUP created a Volunteer page.
Kwanza tunatoashukrani za dhati kwenu Envaya kwa kutusaidia ukurasa huu. Shirika letu la TUNAWEZA WOMEN GROUP tunahitaji mwalimu wa michezo tunao vijana ambao wana hitaji mwalimu wa kuwafundisha nakuwasimamia katika mchezo wa mpira wa miguu,tunahitaji pia mwalimu wa kufundisha ushonaji kwani tunao wasichana wanaojifunza ufundi wa kushona... Read more
May 22, 2012
TUNAWEZA WOMEN GROUP added a News update.
Tunatoa shukrani kubwa kwa shirika la The foundation for civil society kwa kutuwezesha kupata mafunzo ya uongozi mpango mkakati pamoja na utunzaji wa fedha kwani japo kuwa tuli anza kukata tamaa kwa kuchelewa kwa ruzuku hivi sasa tuna fanya kazi kwa kujiamini japokuwa bado tunaendelea na mafunzo .
April 12, 2012
TUNAWEZA WOMEN GROUP created a Team page.
MONIKA BWANGA/ MWENEKITI – GRACE PETER/ KATIBU – ARIZIKI MTAMBALIKE/ MUHAZINI – ZAHARA RASHIDI/ M/ KITI MSAIDIZI – ESHI NDOSI/KATIBU/MSAIDIZI – FARAJA MAKENE/AFISA UKIMWI – ZENNA JUMANNE/MJUMBE – CONSOLATA BAGANDA/MJUMBE – AGNES MBEZI/MJUMBE ... Read more
April 12, 2012
Sectors
Location
stakishari ukonga,ILALA, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations