Log in

Translations: Kiswahili (sw): Translators: Jesse Young (youngj)

Name Jesse Young (youngj)
Last update May 9, 2014
Translations 105
Votes 88

Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
eS0008C4EF83114000005111:contentBased in Moshi, WOY works to empower youth to stop the spread of HIV/AIDS by providing them with adequate information and life skills training.Kutoka Moshi, WOY inafanya kazi kuwawezesha vijana kusimamisha maambukizi ya mapya ya UKIMWI kwa kuwapa habari inayofaa na mafunzo ya ujuzi wa maisha.youngjNovember 30, 2010
eS000D5C4A41AF6000004636:contentFadeco Community Radio (100.8 FM) is a local radio station in Karagwe District, Kagera region. Fadeco works to stimulate rural development by improving access to information, learning resources, and communication technologies.Fadeco Community Radio (100.8 FM) ni kituo cha redio cha jumuiya katika wilaya ya Karagwe, mkoa wa Kagera. Fadeco inafanya kazi ya kuleta maendeleo ya vijijini kwa kuboresha upatikanaji wa habari na teknolojia ya mawasiliano.youngjOctober 30, 2010
eS000E7E687E9EE000004204:contentANPPCAN is a pan-African network that promotes child rights and child protection in Africa. Its Tanzania chapter was founded in 1990, and is currently involved into two main projects in Kisarawe and Mkuranga District in the Coastal regions.ANPPCAN ni mtandao wa Afrika ambayo umekuzania haki za watoto na ulinzi wa watoto. Sura yake ya Tanzania imeanzishwa mwaka wa 1990, na kwa sasa inafanya miradi mikuu miwili wilaya ya Kisarawe na Mkuranga katika mkoa wa Pwani.youngjSeptember 30, 2010
eS000526A06EA3E000004025:contentCFP works to motivate society to protect the environment, and develops natural forests on the island of Pemba. Since 2006, it has helped 14 communities plant over 300,000 trees for fruit and timber, and many communities have seen the environmental benefits that tree planting has provided.Shirika la CFP linafanya kazi kuhamasisha jamii kutunza mazingira, na kundeleza misitu ya asili katika kisiwa cha Pemba. Tangu 2006, shirika hili limesaidia jumuiya 14 kupanda zaidi ya miti 300,000 kwa matunda na kuni, na jumuiya nyingi imeona faida za mazingira kutoka upandaji wa miti.youngjSeptember 20, 2010
eS000489F8CEC76000003254:contentBased in Arusha, Tanzania, CWCD helps make sure that the basic rights of women and children are met. CWCD started the Albehije Frankosea pre & primary school to accomodate vulnerable children, which currently serves 109 orphans, disabled, and street children.Kutoka Arusha, Tanzania, CWCD inasaidia kuhakikisha kuwa wanawake na watoto wana haki zao za msingi. CWCD ilianzisha Albehije Frankosea shule ya msingi ili kusaidia watoto walio katika mazingira magumu, ambayo kwa sasa inasaidia watoto 109: mayatima, walemavu, na watoto wa mitaani.youngjAugust 30, 2010
eS0003C0E890B1D000002615:contentNuru Halisi educates their community on various issues such as AIDS, drug abuse, and environmental protection. They also help to connect homeless people to their relatives and give them strategies to support themselves.Nuru Halisi inaelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali yanayohusu UKIMWI, madawa ya kulevya, utunzaji wa mazingira, na elimu kwa vikundi vya vijana na kinamama, na inawatafuta msikwao na kuwakutanisha na ndugu zao na kuwapa mbinu za kujitegemea.youngjAugust 16, 2010
eS000650512AE6A000002614:contentJEAN media connects CBOs and NGOs in order to bring about communication and change in communities on HIV/AIDS and Environmental issues.JEAN-media inaunganisha CBOs na NGOs ili kusababisha mawasiliano na mabadiliko katika jamii juu ya VVU/UKIMWI na masuala ya mazingira.youngjAugust 7, 2010
WI000BA55196A86000000461:contentEmail: info@envaya.org Mailing address: 150 Post Street, Suite 342 – San Francisco, CA 94108 – USA – East Africa Office: COSTECH Building – Kijitonyama, Dar es Salaam – Tanzania – Let us know what you think about Envaya!...Email: info@envaya.org Anwani ya barua: 2355 Polk St # 405 – San Francisco, CA 94109 – USA Tuambie unafikiria kuhusu Envaya! Je, kuna tatizo lolote? Tuongeze kitu gani kipya? Tutumie email katika ...youngjAugust 7, 2010
WI000B30098A8E1000002610:titleSupportersWafadhiliyoungjAugust 6, 2010
WI000A0B64E2605000002611:titleDonateChangiayoungjAugust 6, 2010
WI000DAED275B4C000002609:titleAdvisory BoardBodi ya UshauriyoungjAugust 6, 2010
WI0004FDCD2F2F1000000462:titleAbout UsKuhusu SisiyoungjAugust 6, 2010
(hidden)
WI0007A3C166E10000000160:contentTushiriki ya yatoa elimu ya utawala bora kwenye sekta ya misitu wilaya ya rungwe Mkoani MbeyaTushiriki ya yatoa elimu ya utawala bora kwenye sekta ya misitu wilaya ya rungwe Mkoani MbeyayoungjJuly 13, 2010
WI0000FB5E4FD28000000203:contentPia tunakaribisha wanachama wapya katika TNJPOSITIVE kwahiyo kwa kila mwandishi aliye na virusi vya ukimwi anakaribishwaPia tunakaribisha wanachama wapya katika TNJPOSITIVE kwahiyo kwa kila mwandishi aliye na virusi vya ukimwi anakaribishwayoungjJuly 13, 2010