Internal ID | Asili | Kiswahili | Mfasiri | Muda ya Uumbaji |
---|
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Unaweza kutumia Envaya kwenye simu yako kupitia njia mbili: kwa kupeleka ujumbe mfupi (SMS), au kwa kutumia kivinjari kwenye simu. Sehemu hapo chini zitaeleza jinsi ya kutumia njia hizi mbili. – Kutumia Envaya kupitia Ujumbe Mfupi (SMS) – Uwezo wa SMS wa Envaya unakuruhusu kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, karibu na popote duniani, hata mahali bila intaneti. Kwa sasa, uwezo huu unakuruhusu kuchapisha taarifa ya habari fupi kwenye tovuti ya shirika... | youngj | 25 Septemba, 2011 |
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Unaweza kutumia Envaya kwenye simu yako kupitia njia mbili: kwa kupeleka ujumbe mfupi (SMS), au kwa kutumia kivinjari kwenye simu. Sehemu hapo chini zitaeleza jinsi ya kutumia njia hizi mbili. – Kutumia Envaya kupitia Ujumbe Mfupi (SMS) – Uwezo wa SMS wa Envaya unakuruhusu kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, karibu na popote duniani, hata mahali bila intaneti. Kwa sasa, uwezo huu unakuruhusu kuchapisha taarifa ya habari fupi kwenye tovuti ya shirika... | youngj | 21 Agosti, 2011 |
WI0002C56A3DDED000028456:content | We encourage you to share your organization's website with many other people – community members, partner organizations, and your own staff! Your organization's website will be more useful as more people know about it, and use it to interact with your organization. So tell people about your website! We also suggest adding your organization's website address to your organization's signs and letterhead. – (image) – Envaya makes it easy to share any... | Tunakusisitiza kusambaza tovuti ya asasi yako na watu wengine wengi - wanajamii, mashirika ya ubia, na wanachama wako wenyewe! Tovuti ya asasi yako itakuwa muhimu zaidi kama watu zaidi waijue, na waitumie ili kushirikiana na asasi yako. Kwa hivyo, waambie watu kuhusu tovuti yako! Vile vile, tunapendekeza uongeze anwani ya tovuti ya asasi yako kwa alama na barua za asasi yako. – (image) – Kupitia Envaya, ni rahisi kusambaza ukurasa wowote wa tovuti... | youngj | 26 Julai, 2011 |
WI00021B9182B85000006846:title | Get Involved | Shirikiana nasi | youngj | 26 Julai, 2011 |
WI0009482CA10CD000028213:title | Logging In To Envaya | Kufungua Akaunti yako ya Envaya | youngj | 26 Julai, 2011 |
WI0007BAFEB2ED3000028031:content | Envaya is a free, easy-to-use service that allows civil society organizations to create their own websites, publish their latest news, photos, and documents, interact with grantmakers, and collaborate with other organizations and people around the world. – Over 700 civil society organizations (CSOs) are already using Envaya, from small community based organizations to large NGOs. CSOs on Envaya work on a wide range of activities including advocating for positive change,... | Envaya inatoa huduma kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia kupata tovuti bila malipo yoyote, kuchapisha habari, picha, na hati mpya, kuwasiliana na wafadhili, na kushirikiana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Sasa, zaidi ya mashirika 600 ya kiraia yanatumia Envaya, kutoka asasi ndogo kwa NGOs kubwa. Mashirika juu ya Envaya yanafanya kazi ya aina mbalimbali, kama kutetea mabadiliko, kuendeleza mipango mipya ya kupunguza umaskini, na kuendesha miradi kuhusu elimu ya... | youngj | 25 Julai, 2011 |
WI000B03297B933000028271:title | Changing Your Account Settings | Kubadili Mipangilio ya Akaunti yako | youngj | 25 Julai, 2011 |
WI0002C56A3DDED000028456:content | We encourage you to share your organization's website with many other people – community members, partner organizations, and your own staff! Your organization's website will be more useful as more people know about it, and use it to interact with your organization. So tell people about your website! We also suggest adding your organization's website address to your organization's signs and letterhead. – (image) – Envaya makes it easy to share any... | Tunakuhamasisha kusambaza tovuti ya asasi yako na watu wengine wengi - wanajamii, mashirika ya ubia, na wanachama wako wenyewe! Tovuti ya asasi yako itakuwa muhimu zaidi kama watu zaidi waijue, na waitumie ili kushirikiana na asasi yako. Kwa hivyo, waambie watu kuhusu tovuti yako! Vile vile, tunapendekeza uongeze anwani ya tovuti ya asasi yako kwa alama na barua za asasi yako. – (image) – Kupitia Envaya, ni rahisi kusambaza ukurasa wowote wa... | youngj | 25 Julai, 2011 |
WI000B2B1F0932A000028520:content | When you are reading a news update published by another organization on Envaya, you can publish a comment on their page, and start a conversation with them. – At the bottom of the news update, scroll to Add a Comment. – (image) – Just type your comment and enter your name and location below, then click the Publish comment button. Afterwards, Envaya may require you to enter a verification code... | Wakati unaposoma taarifa ya habari iliyochapishwa na shirika jingine kwenye Envaya, unaweza kuchapisha maoni yako kwenye ukurasa wao, na kuanza mazungumzo nao. – Chini ya taarifa ya habari, tembeza kwa Ongeza maoni au Add a comment. – (image) – Ingiza maoni yako, jina lako, na sehemu yako, kisha bonyeza kitufe cha Chapisha maoni. Baada ya hapo, labda Envaya itakuhitaji kuingia maneno... | youngj | 25 Julai, 2011 |
WI0003D065C7022000028276:content | To see the most recent discussions from all organizations on Envaya, click Discussions at the top of any page on Envaya, as shown below: – (image) – This page shows the topic of each recent discussion and part of the most recent message in that discussion. To see discussions started by certain kinds of organizations, (for example, organizations involved in Human rights), click All sectors, then choose a sector... | Ili kuona majadiliano mapya kutaka mashirika yote kwenye Envaya, bonyeza Majadiliano au Discussions juu ya ukurasa wowote kwenye Envaya, kama hapo chini: – (image) – Ukurasa huu unaonyesha kila mada ya jadiliano na sehemu ya ujumbe wa mwisho wa jadiliano. Ili kuona jadiliano lililoanzishwa na aina fulani ya mashirika (kwa mfano, mashirika yanayofanya kazi ya haki za Binadamu), bonyeza Sekta zote,... | youngj | 25 Julai, 2011 |
WI000D6F8C9DE08000028268:content | On the Edit Site page ( (image) ) is the Edit Pages section, which lists all of the pages on your organization's website. Here you can edit an existing page, change the order of pages, or add a new page to your website. – (image) – The existing... | Katika ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ipo sehemu ya Hariri Kurasa, ambayo inaorodhesha kurasa zote za tovuti ya shirika lako. Hapa unaweza kuhariri ukurasa uliopo, kubadili utaratibu ya kurasa, au kuongeza ukurasa mpya kwenye tovuti yako. – (image) ... | youngj | 25 Julai, 2011 |

WI00010064FC902000028273:content | Envaya provides many opportunities to collaborate with other civil society organizations that are also using Envaya. – Click any topic below to learn more. | Envaya inatoa fursa nyingi kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kiraia ambayo yanatumia Envaya pia. – Bonyeza mada yoyote hapo chini ili kujifunza zaidi. | youngj | 25 Julai, 2011 |