Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: eS000526A06EA3E000004025:content

Base (English) Kiswahili

CFP works to motivate society to protect the environment, and develops natural forests on the island of Pemba. Since 2006, it has helped 14 communities plant over 300,000 trees for fruit and timber, and many communities have seen the environmental benefits that tree planting has provided.

Shirika la CFP linafanya kazi kuhamasisha jamii kutunza mazingira, na kundeleza misitu ya asili katika kisiwa cha Pemba. Tangu 2006, shirika hili limesaidia jumuiya 14 kupanda zaidi ya miti 300,000 kwa matunda na kuni, na jumuiya nyingi imeona faida za mazingira kutoka upandaji wa miti.

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

youngj
September 20, 2010
Shirika la CFP linafanya kazi kuhamasisha jamii kutunza mazingira, na kundeleza misitu ya asili katika kisiwa cha Pemba. Tangu 2006, shirika hili limesaidia jumuiya 14 kupanda zaidi ya miti 300,000 kwa matunda na kuni, na jumuiya nyingi imeona faida za mazingira kutoka upandaji wa miti.
Google Translate
September 20, 2010
CFP kazi ya kuwahamasisha jamii na kulinda mazingira, na kuendeleza misitu ya asili katika kisiwa cha Pemba. Tangu mwaka 2006, ni umesaidia jamii 14 kupanda juu ya miti 300,000 kwa ajili ya matunda na miti, na jamii nyingi tumeona faida ya mazingira ya kupanda miti imetoa.