Ijambo | Base | Kiswahili | Umusemuzi | Igihe gishyizweho |
---|
WIptaAbauTgpxkWpUKEi0MXN:content | Involvement of CSOs in abandoning harmful cultural practices in Tanzania – Tanzania is a country that is extremely rich in traditions and culture, well known to treasure its heritage and pride in cultural practices. Tanzania is a harmonious culture that’s mostly based on a subtle but strong social code of respect and courtesy. The official language in Tanzania is Swahili, although many people speak English. Tanzanian people are known to be extremely friendly... | Ushiriki wa asasi za kiraia katika kuachana na mila hatarishi katika Tanzani – Tanzania ni nchi yenye utajiri wa mila na utamaduni na hujivunia hazina za urithi wao.Utamaduni wa kitanzania ni mzuri sana wenye heshima na adabu katika jamii. lugha rasmi nchiniTanzania ni Kiswahili lakini pia watu wengi huzungumza Kiingereza. Watu wa Tanzania wanajulikana sana kwa ukarimu na upole. – Kuna uelewa ambao unaendelea kukua nchini Tanzania wa madhara... | ramadhan | 5 Nyakanga, 2012 |
WI000DAED275B4C000002609:content | Sango Kipozi – (image) As one of Tanzania's leading social entrepreneurs, Sango Kipozi is a household name in Tanzania. Connected to numerous leaders of Tanzanian civil society, Sango has been invaluable in helping Envaya spread across Tanzania. She is currently the Executive Director of the NGO JEAN Media, and has recently launched a community radio station in Mtwara. – Anthony Walton ... | Sango Kipozi – (image) Kama mmoja wa wafanyabiashara wa Tanzania wa kuongoza jamii, Sango Kipozi ni jina kaya katika Tanzania. hushikamana na viongozi mbalimbali wa vyama vya kiraia Tanzania, Sango imekuwa na mchango mkubwa sana katika kusaidia Envaya kuenea katika Tanzania. Yeye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Jean Media , na hivi karibuni ilizindua kituo cha redio ya jamii katika... | ramadhan | 8 Kamena, 2012 |
widget:volunteer:help | Write about any requirements for your organization's volunteers. Describe the type of position available, skills required, location, days to work, person to contact, etc. | Andika kuhusu hizo nafasi za kujitolea. Fafanua aina ya nafasi iliyopo, sifa na ujuzi inayotakiwa, mahali pa kufanyia kazi, siku gani za kujitolea, mtu wa kuwasiliana naye n.k. | ramadhan | 7 Gicurasi, 2012 |
WI00021B9182B85000006846:content | Get Involved – Excited about Envaya and want to get involved? Email us! – We are actively looking for motivated people who have been inspired to contribute to our efforts to empower grassroots civil society through technology. Whether you’re an international development specialist interested in expanding and improving our operations, a programmer who wants to directly contribute to our platform, or a non-profit professional... | Ungana Nasi! – Je unataka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au... | ramadhan | 30 Mata, 2012 |
WI000BA55196A86000000461:content | Email:
info@envaya.org
Mailing address:
150 Post Street, Suite 342 – San Francisco, CA 94108 – USA – East Africa Office:
COSTECH Building – Kijitonyama, Dar es Salaam – Tanzania – Let us know what you think about Envaya!... | Email:
info@envaya.org
Mailing address:
150 Post Street, Suite 342 – San Francisco, CA 94,108 – USA – East Africa Office: COSTECH Building – P.O.BOX 4320 ... | ramadhan | 24 Mata, 2012 |
WI000BA55196A86000000461:content | Email:
info@envaya.org
Mailing address:
150 Post Street, Suite 342 – San Francisco, CA 94108 – USA – East Africa Office:
COSTECH Building – Kijitonyama, Dar es Salaam – Tanzania – Let us know what you think about Envaya!... | Email:
info@envaya.org
Mailing address:
150 Post Street, Suite 342 – San Francisco, CA 94,108 – USA – East Africa Office: COSTECH Building – P.O.BOX 4320 ... | ramadhan | 24 Mata, 2012 |
WI000DAED275B4C000002609:content | Sango Kipozi – (image) As one of Tanzania's leading social entrepreneurs, Sango Kipozi is a household name in Tanzania. Connected to numerous leaders of Tanzanian civil society, Sango has been invaluable in helping Envaya spread across Tanzania. She is currently the Executive Director of the NGO JEAN Media, and has recently launched a community radio station in Mtwara. – Anthony Walton ... | Sango Kipozi – (image) Kama mmoja wa wafanyabiashara wa Tanzania wa kuongoza jamii, Sango Kipozi ni jina kaya katika Tanzania. Kushikamana na viongozi mbalimbali wa vyama vya kiraia Tanzania, Sango imekuwa na mchango mkubwa sana katika kusaidia Envaya kuenea katika Tanzania. Yeye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Jean Media , na hivi karibuni ilizindua kituo cha redio ya jamii katika... | ramadhan | 23 Mata, 2012 |
WI000B30098A8E1000002610:content | Trust for Conservation Innovation – (image) As fiscal sponsor for Envaya, the Trust for Conservation Innovation enthusiastically supports Envaya and its mission. Envaya is a nonprofit project that is legally organized under the Trust for Conservation Innovation. As a sponsored project, Envaya focuses on its programmatic goals,... | Trust for Conservation Innovation – (image) Kama mdhamini wa fedha katika Envaya, Mdhamini huyu anaisaidia na ataendelea kuisaidia envaya na mipango yake yote.Envaya ni mradi usiojikita katika kupata faida ulioanzishwa kisheria chini ya Trust for Conservation Innovation.kama mradi unaofadhiliwa, Envaya inalenga katika malengo yake ya... | ramadhan | 23 Mata, 2012 |
WI000A0B64E2605000002611:content | (image) Envaya is actively seeking donations and grants to support and expand the impact of our work. – Your support is essential to achieving our goals and future plans, and we greatly appreciate your contributions. – Contribute to Envaya's efforts to digitally empower grassroots civil society by making a tax-deductible donation now! – There are a variety of ways you can donate to Envaya:... | (image) Envaya inafanya juhudi za dhati kutafuta misaada na michango ya kusaidia na kupanua kazi yetu. – Msaada wako ni muhimu katika kufikia malengo yetu na mipango ya baadaye, na tunathamini sana michango yenu. – Changia katika jitihada za Envaya kwa kufanya mchango kodi GNU sasa! – Kuna njia mbalimbali unaweza kuchangia kwa Envaya: cheki, kadi ya mikopo, uhamisho waya, au mchango hisa.... | ramadhan | 18 Mata, 2012 |
WI0009482CA10CD000028213:content | When you first register for Envaya, you are automatically logged in to your new account on Envaya. However, the next time you return to envaya.org, you will probably be "logged out", and will have to log in first before editing your website. – In order to edit your website, go to http://envaya.org in your web browser and click Log in, as shown below: – (image) – Then, type your... | Ukijiandikisha Envaya unaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako mpya. Lakini wakati mwingine unaweza kurudi envaya.org, huenda ukawa umefungiwa nje na unahitaji kuingia tena kuhariri tovuti yako. – Ili kuhariri tovuti yako, nenda http://envaya.org katika web browser yako na bonyeza Ingia, kama ilivyoonyeshwa hapa chini: – (image) – Kisha andika jina la mtumiaji la shirika lako na neno la... | ramadhan | 16 Mata, 2012 |
WI000BC2765B44B000028030:content | In just a few minutes, you can easily register your civil society organization on Envaya, for free, from any computer with an internet connection. (For civil society organizations in Tanzania and Rwanda, it is not necessary to ask for approval before registering for Envaya.) – To register your organization, first go to http://envaya.org in any web browser and click Sign up now, as shown below: ... | Katika dakika chache tu unaweza kuandikisha shirika lako la kijamii jamii kwenye tovuti ya Envaya, bure kabisa, kwenye kompyuta yenye mtandao. (Kwa mashirika ya kiraia yaliopo Tanzania na Rwanda, si lazima kuomba kibali kabla ya kusajili Envaya.) – Kusajili shirika lako, nenda kwanza http://envaya.org kwa kutumia browser yoyote ya mtandao na bonyeza Jiunge Sasa au Sign up now, kama ilivyo hapa... | ramadhan | 16 Mata, 2012 |
WI000AC72AB03F3000028274:content | Envaya makes it easy to communicate with other organizations that are also using Envaya. – When you are logged in to Envaya, just visit another organization's website, and click the link at the top to Send a Message. – (image) – Then, type your message and click Send Message to send your message to the organization via email. – (image) ... | Envaya inakuwezesha kuwasiliana na mashirika mengine ambayo wana akaunti ya Envaya. – Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, kutembelea tovuti ya shirika lingine,bonyeza kiungo juu cha kutuma ujumbe. – (image) – Kisha, andika ujumbe wako na bonyeza Tuma Ujumbe kutuma ujumbe wako kwa shirika kupitia barua pepe. – (image) ... | ramadhan | 5 Mata, 2012 |
WI00073AC7900C9000028275:content | Envaya makes it easy to find other civil society organizations that are relevant to your organization. – By visiting the websites of other organizations on Envaya, can see their latest news, communicate, and engage in discussions together. If an organization hundreds of kilometers away has a successful project and writes about it on Envaya, you can get ideas for your own organization. – To browse all of the organizations on Envaya by name or location, click... | Envaya inarahisisha utafutaji wa asasi nyingine ambayo inaweza kuwa na umuhimu kwa asasi yako. – Kwa kutembelea tovuti ya mashirika mengine ya Envaya, unaweza kuona habari zao za karibuni, kuwasiliana nao, na kushiriki katika majadiliano ya pamoja. Kama kuna shirika lipo mbali sana lakini limetoa habari kuhusu mradi uliofanikiwa kwenye akaunti yao ya Envaya, wewe pia unaweza kupata mawazo mapya yanayoweza kusaidia shirika lako. – Ili kuona mashirika yote kwenye Envaya... | ramadhan | 5 Mata, 2012 |
WI000B03297B933000028271:content | The Envaya account settings page allows you to can update your organization's contact information and other settings. When you are logged into Envaya, the (image) icon at the top of the page will take you to the account settings page. – (image) – On this page you can change how your organization's name appears on Envaya, and update your email address and phone number. ... | Ukurasa wa Vifaa Vya Mtumiaji unakuwezesha kubadili vitu vingi kwenye tovuti yako kama namba za mawasiliano. Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya,kifungo cha namna hii (image) kinachoonekana juu ya ukurasa kinakupeleka kwenye ukurasa wa Vifaa Vya Mtumiaji. – (image) – Katika ukurasa huu unaweza kubadilisha jina la asasi lako, na kubadili anwani ya barua... | ramadhan | 5 Mata, 2012 |
itrans:placeholder_error | Ubusobanuro ntabwo bufite ibimenyetso bikwiriye. | Tafsiri haina maana sahihi | ramadhan | 26 Werurwe, 2012 |