Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Tafsiri mpya

Internal IDAsiliKiswahiliMfasiriMuda ya Uumbaji
discussions:confirm_remove_messageAre you sure you want to delete this message?Una uhakika kuwa unataka kufuta ujumbe huu?radhina7 Juni, 2011
(hidden)
WI0004FDCD2F2F1000000462:contentEnvaya develops and deploys software that empowers and connects civil society organizations around the world. – We build online and mobile tools that allow grassroots organizations to easily create their own websites, and provide larger NGOs better tools to support and communicate with these local efforts. – Background – (image) Envaya’s core belief is that the most effective and sustainable development...Envaya inaumba na kueneza programu ya kompyuta ili kuyawezesha na kuyaunganisha mashirika ya jumuiya ya kiraia duniani. – Tunaumba vifaa vinavyoyaruhusu kujenga tovuti zao wenyewe, na kutoa vifaa kwa NGOs kubwa kusaidia bidii hizi za jamii. – Usuli – (image) Duniani kote,...youngj23 Aprili, 2011
eS000BB8A5F1368000013108:contentFounded in 2009, MED works to increase participation of citizens in improving democracy, governance, youth education, and education about the consequences of drug abuse and HIV/AIDS.MED ni shirika lililoanzishwa mwaka 2009 kwa ushirikiano wa wadau wapenda maendeleo kwa lengo la kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika kuboresha Elimu, Demokrasia, Elimu ya Uraia, Utawala Bora kwa makundi yote ya jamii.youngj22 Aprili, 2011
eS00097EE6CA470000009576:contentAPCCC works to facilitate local level awareness and empowerment for disaster risk reduction and sustainable adaptation measures to enable local communities to cope with impacts of climate change.APCCC inawezesha maendeleo na uelewa kwenye jamii, kufahamisha jamii kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa na kuwafahamisha namna ya kujitetea endapo kuna gharika za mabadiliko ya hali ya hewa.youngj14 Machi, 2011
eS00071185E839D000007684:contentBased in Njombe district, HUDEO's activities include providing sustainable agriculture skills, improving health with clean water supplies, and promoting environmental protection through afforestation.HUDEO inafanya kazi kukidhi mahitaji ya wana jamii wa wilaya ya Njombe. HUDEO inalenga kuboresha shughuli za wananchi kujitafutia kipato, na pia inajishughulisha na harakati mbali mbali kama mazingira, ukimwi, na kusaidia watoto.youngj7 Februari, 2011
WI0009823D8FF97000002612:titleTestimonialsUshuhudajjstern19 Januari, 2011
(hidden)
WI0009823D8FF97000002612:contentBelow is a sampling of recent feedback that Envaya has received from people who use Envaya for their civil society organizations: – "With whole intentions, I would like to congratulate Envaya for – accomplishing the plan which has enabled many civil society – organizations to know each other, to leave behind the idea of literal – distance on the earth. For the civil society organizations that have joined – Envaya, Envaya has succeeded in making them...Chini ipo baadhi ya ushahidi ambao Envaya imeipokea kutoka watu ambao wanatumia Envaya kwa mashirika yao ya jumuiya ya kiraia: – "Habari wana Envaya! Nimefurahia uwepo wa huduma hii hasa kwa mashirika yetu ambayo ni machanga sana katika teknohama. Kwa kila hali Envaya ni mkombozi kwao. Sisi pia tulikuwa na mikakati ya kufungua tovuti lakini tatizo ikawa ni namna ya kuiweka hewani. – "Nilipokuwa Dodoma Novemba mwaka huu...youngj11 Januari, 2011
eS0003C3CED1C8F000006195:contentFounded in 2001, TEYODEN works in 24 youth centers in Temeke municipality, helping youth to be responsible in behavior change and play a significant role in social, political, and economic activities.TEYODEN imeumbwa 2001, na inafanya kazi katika vituo 21 vya vijana manispaa ya Temeke, kuwasaidia vijana kuwa na wajibu wa kubadilisha tabia na kuwa na jukumu muhimu katika shughuli za kijamii, kisiasa, na kiuchumi.youngj7 Januari, 2011
eS0008C4EF83114000005111:contentBased in Moshi, WOY works to empower youth to stop the spread of HIV/AIDS by providing them with adequate information and life skills training.Kutoka Moshi, WOY inafanya kazi kuwawezesha vijana kusimamisha maambukizi ya mapya ya UKIMWI kwa kuwapa habari inayofaa na mafunzo ya ujuzi wa maisha.youngj30 Novemba, 2010
eS000D5C4A41AF6000004636:contentFadeco Community Radio (100.8 FM) is a local radio station in Karagwe District, Kagera region. Fadeco works to stimulate rural development by improving access to information, learning resources, and communication technologies.Fadeco Community Radio (100.8 FM) ni kituo cha redio cha jumuiya katika wilaya ya Karagwe, mkoa wa Kagera. Fadeco inafanya kazi ya kuleta maendeleo ya vijijini kwa kuboresha upatikanaji wa habari na teknolojia ya mawasiliano.youngj30 Oktoba, 2010
eS000E7E687E9EE000004204:contentANPPCAN is a pan-African network that promotes child rights and child protection in Africa. Its Tanzania chapter was founded in 1990, and is currently involved into two main projects in Kisarawe and Mkuranga District in the Coastal regions.ANPPCAN ni mtandao wa Afrika ambayo umekuzania haki za watoto na ulinzi wa watoto. Sura yake ya Tanzania imeanzishwa mwaka wa 1990, na kwa sasa inafanya miradi mikuu miwili wilaya ya Kisarawe na Mkuranga katika mkoa wa Pwani.youngj30 Septemba, 2010
eS000526A06EA3E000004025:contentCFP works to motivate society to protect the environment, and develops natural forests on the island of Pemba. Since 2006, it has helped 14 communities plant over 300,000 trees for fruit and timber, and many communities have seen the environmental benefits that tree planting has provided.Shirika la CFP linafanya kazi kuhamasisha jamii kutunza mazingira, na kundeleza misitu ya asili katika kisiwa cha Pemba. Tangu 2006, shirika hili limesaidia jumuiya 14 kupanda zaidi ya miti 300,000 kwa matunda na kuni, na jumuiya nyingi imeona faida za mazingira kutoka upandaji wa miti.youngj20 Septemba, 2010
eS000489F8CEC76000003254:contentBased in Arusha, Tanzania, CWCD helps make sure that the basic rights of women and children are met. CWCD started the Albehije Frankosea pre & primary school to accomodate vulnerable children, which currently serves 109 orphans, disabled, and street children.Kutoka Arusha, Tanzania, CWCD inasaidia kuhakikisha kuwa wanawake na watoto wana haki zao za msingi. CWCD ilianzisha Albehije Frankosea shule ya msingi ili kusaidia watoto walio katika mazingira magumu, ambayo kwa sasa inasaidia watoto 109: mayatima, walemavu, na watoto wa mitaani.youngj30 Agosti, 2010