Internal ID | Asili | Kiswahili | Mfasiri | Muda ya Uumbaji |
---|
WI0002BB93853C0000103225:content | VISION – To have a good nation – MISSION – Raising awareness on policies ,accessing and dissemination of information concerning social issues ... | VISION – To have a good nation – MISSION – Raising Awareness on policies, accessing and dissemination of information concerning Social Issues – MAIN objective – Goverment with good governance | chachuorg | 3 Machi, 2013 |
WI8cohqLQpF8Hs0ohQ2IoLGS:content | (image) – Huu ni muonekano wa mbele wa choo hicho. | (image) – Huu ni muonekano wa mbele wa choo hicho cha Shule ya Msingi Mvumi co,ed Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.. | M-E-D-1-1 | 27 Februari, 2013 |
WIpRiIaC4euBqjTFiPrYI40L:content | (image) – Hili ni moja ya tundu la choo hicho kinachotumiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndebwe Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. | (image) – Hili ni moja ya tundu la choo hicho kinachotumiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mvumi co,ed Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. | M-E-D-1-1 | 27 Februari, 2013 |
WIk0wqZMZ6THPy2ZN3h0auIy:content | (image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Ndebwe iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo. | (image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Mvumi co,ed iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo. | M-E-D-1-1 | 27 Februari, 2013 |
WI7cE2xjIF6zX9WQGxTDhFNI:content | (image) | Uvunaji wa maji ni muhimu kutokana na eneo la kisarawe/Kijiji cha Masanganya kutokuwa na mito (image) | thegreenmaranye | 23 Februari, 2013 |
region:tz:lindi | Lindi | Lindi | sulicode | 13 Februari, 2013 |
WI0003224A55B55000008092:content | (image) – (image) – Mwenye nyumba hii anahitaji kukutana na Tume ya Rais ya kukusanya maoni juu ya Marekebisho ya Katiba; wajumbe wa tume watamfikiaje huyu? taarifa za ujio wa Wajumbe wa Tume atazipataje? – (image)... | (image) Baadhi ya wanafunzi wa shule zinazotekeleza mradi wa My Rights My Voice katika Wilaya ya Chamwino wakiwa kwenye mafunzo juu ya uanzishaji wa Mabaraza ya shule na uendeshaji wa chaguzi za kidemokrasia katika shule zao. – (image) – Mandhari ya Mji wa Singida. – (image) ... | M-E-D-1-1 | 12 Februari, 2013 |
WI000E5DB25860F000008083:content | MED inatafuta washirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote. – Kwa sasa washirika wa MED ni:- – OxfarmGB
HakiElimu ya jijini Dar es Salaam
UWEZO.net ya jijini Dar es Salaam
ILO
The Foundation for Civil Society
BBC Media Action
CARE - Tanzania
United Nations Girls Education Innovation... | MED inatafuta wshirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote. – Kwa sasa washirika wa MED ni:- – HakiElimu ya jijini Dar es Salaam na
UWEZO.net nao pia wa jijini Dar es Salaam ambao kwa pamoja wanatuhisani katika uendeshaji wa vipindi vya Radio.
CARE - Tanzania
Shirika la kimataifa la Oxfam GB. Hawa ni wabia wetu... | M-E-D-1-1 | 12 Februari, 2013 |
WIVD6k8aSBNgUaEnGUS7r0SK:content | (image) – Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Bi. Fatma Said Ally akiongea na wadau wa Elimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa na Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake UP (WOWAP) kwa uhisani wa Shirika la Oxfam GB. Pichani mwenye shati la Blue ni Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi na mwenye shati la Black ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino BBaltazary Ngowi. | (image) – Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Bi. Fatma Said Ally akiongea na wadau wa Elimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa na Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake UP (WOWAP) kwa uhisani wa Shirika la Oxfam GB. Pichani kushoto ni Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Baltazary Ngowi. | M-E-D-1-1 | 12 Februari, 2013 |
WIbNli40vZ1u3pB7nHOaYl3T:content | Baraka Goodhope Orphan's Development (BAGODE) yenye makao makuu Mwanza Tanzania, linatangaza nafasi za volunteer kwa wale wenye taaluma na wanaohitaji kujitolea kutoka ndani na nje ya Tanzania. – Sifa za mwombaji – Mwombaji awe na fani ya elimu ya jamii pia mwombaji awe na uwezo wa kufanya kati ya kazi zifuatazo: – Uandishi wa proposal (proposal writing)
Uandishi wa taarifa (Report... | Baraka Goodhope Orphan's Development (BAGODE) yenye makao makuu Mwanza Tanzania, linatangaza nafasi za volunteer kwa wale wenye taaluma na wanaohitaji kujitolea kutoka ndani na nje ya Tanzania. – Sifa za mwombaji – Mwombaji awe na fani ya elimu ya jamii pia mwombaji awe na uwezo wa kufanya kati ya kazi zifuatazo: – Uandishi wa proposal (proposal writing)
Uandishi wa taarifa (Report... | bagode | 6 Februari, 2013 |
share:email | Email | dmwaisaka@yahho.comBarua pepe | Tuelimike | 14 Januari, 2013 |
lang:unknown | (unknown language) | kiswahil(lugha nyingine) | Tuelimike | 14 Januari, 2013 |
WI000A51C0EA89D000008534:content | PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT (PHY) is a Non-Governmental Organization not for profit making, non-religious also not affiliated with any political part. – PHY was established on 07 July 2007 by 11 founder members and recognized by legal authority and registered on 13th Nov 2009 with valid registration No 00NGO/00003553 as a Local organization working on the grassroots level. ... | PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT (PHY) is a Non-Governmental Organization not for profit making, non-religious also not affiliated with any political part. – PHY was established on 07 July 2007 by 11 founder members and recognized by legal authority and registered on 13th Nov 2009 with valid registration No 00NGO/00003553 as a Local organization working on the grassroots level. ... | PHY | 28 Desemba, 2012 |
WI0009C3CF86EBB000008768:content | BAGODE is committed to serve and support orphans and street children to live in families and to giving them development opportunities through Research, Capacity building and Advocacy. – We rely on mutual learning and sharing of our results, designing of innovative and quality programs to realize our Mission. | BAGODE is committed to Serve and support Orphans and street children to live in. Families and to giving them development opportunities through Research, Advocacy and Capacity building. – We rely on Mutual learning and sharing of our results, Designing of Innovative and quality program to Realize our Mission. | bagode | 11 Desemba, 2012 |
WI0009C3CF86EBB000008768:content | BAGODE is committed to serve and support orphans and street children to live in families and to giving them development opportunities through Research, Capacity building and Advocacy. – We rely on mutual learning and sharing of our results, designing of innovative and quality programs to realize our Mission. | BAGODE is committed to serve and support orphans and street children to live in families and to giving them development opportunities through Research, Capacity building and Advocacy. – We rely on mutual learning and sharing of our results, designing of innovative and quality programs to realize our Mission. | bagode | 11 Desemba, 2012 |