Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|---|---|---|---|
WI00010064FC902000028273:title | Collaborating With Other Organizations | Kushirikiana na Mashirika Mengine | youngj | July 24, 2011 |
WI000B03297B933000028271:title | Changing Your Account Settings | Kuchangia Mipangilio ya Akaunti yako | youngj | July 24, 2011 |
WI0004717222573000028270:title | Publishing Documents | Kuchapisha Hati | youngj | July 24, 2011 |
WI00095AE5E411A000028269:title | Customizing Your Website Design | Kuchagua Usanii wa Tovuti yako | youngj | July 24, 2011 |
WI000D6F8C9DE08000028268:title | Editing Pages on Your Website | Kuhariri Kurasa kwenye Tovuti yako | youngj | July 24, 2011 |
WI000B35E81D842000028267:title | Writing a News Update | Kuandika Habari | youngj | July 24, 2011 |
WI0009482CA10CD000028213:title | Logging In To Envaya | Kufungua kwenye Envaya | youngj | July 24, 2011 |
WI00035F967454A000028032:title | Editing Your Website | Kuhariri Tovuti Yako | youngj | July 24, 2011 |
WI0007BAFEB2ED3000028031:title | Introduction to Envaya | Utambulisho kwa Envaya | youngj | July 24, 2011 |
WI000BC2765B44B000028030:title | Registering Your Organization on Envaya | Kujiandikisha shirika lako kwenye Envaya | youngj | July 24, 2011 |
WI000007D39996A000028029:content | Welcome to Envaya's Help site! – Envaya's Help site is intended for people from civil society organizations in East Africa to learn about Envaya and how to use its various features. – Click any topic from the list below to learn more. | Karibu kwenye tovuti ya Msaada ya Envaya! – Tovuti ya Msaada ya Envaya inakusudiwa kwa ajili ya wadau kutoka mashirika ya kiraia katika Afrika ya Mashariki ili kujifunza kuhusu Envaya na jinsi ya kutumia uwezo wake mbalimbali. – Bonyeza mada yoyote kutoka kwenye orodha hapo chini ili kujifunza zaidi. | youngj | July 24, 2011 |
network:instructions_2 | These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. | Mashirika haya yanaweza kuwa yale yanayokufadhili, yanayokusaidia, au yanayofanya kazi na wewe, vile vile mitandao ya mashirika yaliyo na shirika lako kama mwanachama | radhina | June 9, 2011 |
network:instructions | On this page, you can list organizations that partner with %s and describe how you work with them. | Kwenye ukurasa huu unaweza kuorodhesha mashirka yaliyo na ubia na %s, na kueleza jinsi unavyo fanya kazi nao | radhina | June 9, 2011 |
network:invite_org | Invite {email} to join Envaya? | Karibisha {email} kujiunga na Envaya? | radhina | June 9, 2011 |
network:org_not_shown | Is the organization you want to add not shown above? | Je, shirika ambalo unataka kuliongeza halijaonekana hapo juu? | radhina | June 9, 2011 |