Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
WI000D6F8C9DE08000028268:content | On the Edit Site page ( (image) ) is the Edit Pages section, which lists all of the pages on your organization's website. Here you can edit an existing page, change the order of pages, or add a new page to your website. – (image) – The existing... | Katika ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ipo sehemu ya Hariri Kurasa, ambayo inaorodhesha kurasa zote za tovuti ya shirika lako. Hapa unaweza kuhariri ukurasa uliopo, kubadili utaratibu ya kurasa, au kuongeza ukurasa mpya kwenye tovuti yako. – (image) ... | youngj | July 25, 2011 |
WI000983F94DAE8000028438:content | Envaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. – To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. – (image) – You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. – Translating Content From Other... | Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. – Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa wowote wa Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. – (image) – Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. – Kutafsiri maandiko Kutoka Lugha... | radhina | July 25, 2011 |
WI00010064FC902000028273:content | Envaya provides many opportunities to collaborate with other civil society organizations that are also using Envaya. – Click any topic below to learn more. | Envaya inatoa fursa nyingi kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kiraia ambayo yanatumia Envaya pia. – Bonyeza mada yoyote hapo chini ili kujifunza zaidi. | youngj | July 25, 2011 |
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Envaya inaweza kutumika kwenye simu yoyote yenye uwezo wa intaneti. Envaya inafanya kazi hata kwenye simu nyingi za zamani, na simu zenye intaneti polepole sana. – Ili kutumia Envaya kwenye simu yako, fungua kivinjari ya simu yako na na ingiza anwani envaya.org . – (image) – Kupitia simu yako, unaweza kusoma habari zilizochapishwa na mashirika juu ya Envaya, kuandika maoni, kuongeza ujumbe... | youngj | July 25, 2011 |
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Envaya inaweza kutumika kwenye simu yoyote yenye uwezo wa intaneti. Envaya inafanya kazi hata kwenye simu nyingi za zamani, na simu zenye intaneti polepole sana. – Ili kutumia Envaya kwenye simu yako, fungua kivinjari ("web browser") ya simu yako na na ingiza anwani envaya.org . – (image) – Kupitia simu yako, unaweza kusoma habari zilizochapishwa na mashirika juu ya Envaya, kuandika maoni,... | youngj | July 25, 2011 |
WI000983F94DAE8000028438:content | Envaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. – To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. – (image) – You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. – Translating Content From Other... | Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. – Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa yoyote ya Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. – (image) – Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. – Kutafsiri Maandiko Kutoka Lugha... | youngj | July 25, 2011 |
WI00098C6B11F96000028467:content | Some grantmakers use Envaya to collect reports from the organizations that they fund. If your organization has a grantmaker that uses Envaya, they will contact you with information about how to start the report. When you start the report, there will be detailed instructions about how to complete the report. – (image) | Wafadhili wengine wanatumia Envaya kukusanya ripoti kutoka mashirika ambayo wanayofadhili. Kama asasi yako ina mfadhili ambaye anatumia Envaya, atawasiliana nawe na kukupa maelekezo kuhusu jinsi ya kuanza ripoti. Baada ya kuanza ripoti hiyo, kutakuwa na maelekezo kuhusu jinsi ya kukamilisha ripoti. – (image) | youngj | July 25, 2011 |
WI000B35E81D842000028267:content | At the top of the Edit Site page ( (image) ) is the Write News Update section, which allows you to easily publish your organization's latest news, photos, and documents on the News page of your Envaya website. – (image) – To write a news update, simply type the news you would like to publish in the large white box. You can... | Juu ya ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ni sehemu ya Andika Habari, ambayo inakuruhusu kwa urahisi kuchapisha taarifa mpya za shirika lako za habari, picha, na hati katika ukurasa wa Habari wa tovuti yako kwenye Envaya. – (image) – Kuandika taarifa ya habari, chapa habari ambayo ungependa kuichapisha katika boksi kubwa... | youngj | July 25, 2011 |
WI00035F967454A000028032:content | After your organization's website is approved by Envaya, anyone on the internet will be able to see your website without needing to register for Envaya. – However, only you (and anyone else who knows your organization's Envaya username and password) can edit the pages on your website when you are "logged in" to Envaya. – By looking at any page's background color, you can tell whether a page is public or if it is only available when you are logged in. All pages with... | Baada ya tovuti ya asasi yako kukubaliwa na Envaya, mtu yeyote kwenye intaneti watakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha kwenye Envaya. – Hata hivyo, wewe tu, na mtu yeyote mwingine ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri ya asasi yako, wanaweza kuhariri kurasa kwenye tovuti yako wakati ambapo wamefungua ("logged in") kwenye Envaya. – Kwa kuangalia rangi ya nyuma ("background") ya ukurasa wowote, unaweza kujua kama ukurasa unaonekana... | youngj | July 25, 2011 |

WI000BC2765B44B000028030:title | Registering Your Organization on Envaya | Kujiandikisha Shirika lako kwenye Envaya | youngj | July 25, 2011 |
WI000983F94DAE8000028438:content | Envaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. – To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. – (image) – You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. – Translating Content From Other... | Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. – Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa yoyote ya Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. – (image) – Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. – Kutafsiri Maandiko Kutoka Lugha... | youngj | July 25, 2011 |
WI000983F94DAE8000028438:content | Envaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. – To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. – (image) – You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. – Translating Content From Other... | Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. – Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa yoyote ya Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. – (image) – Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. – Kutafsiri maandiko Kutoka Lugha... | youngj | July 25, 2011 |
WI0007BAFEB2ED3000028031:content | Envaya is a free, easy-to-use service that allows civil society organizations to create their own websites, publish their latest news, photos, and documents, interact with grantmakers, and collaborate with other organizations and people around the world. – Over 700 civil society organizations (CSOs) are already using Envaya, from small community based organizations to large NGOs. CSOs on Envaya work on a wide range of activities including advocating for positive change,... | Envaya inatoa huduma kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia kupata tovuti bila malipo yoyote, kuchapisha habari, picha, na hati mpya, kuwasiliana na wafadhili, na kushirikana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Sasa, zaidi ya mashirika 600 ya kiraia yanatumia Envaya, kutoka asasi ndogo kwa NGOs kubwa. Mashirika juu ya Envaya yanafanya kazi ya aina mbalimbali, kama kutetea mabadiliko, kuendeleza mipango mipya ya kupunguza umaskini, na kuendesha miradi kuhusu elimu ya... | youngj | July 25, 2011 |
WI000D98886EA05000038991:content | Your organization's website can be written in whatever language you want. However, more people will be able to read your website if it is translated into their language. – On Envaya, it is easy to translate any page on your website into another language. – After you publish a page written in one language, change Envaya to use another language using the Language drop-down menu at the top of the page. Then, click Edit translations, as shown... | Tovuti ya asasi yako inaweza kuandikwa kwa lugha yoyote unayotaka. Hata hivyo, watu wengi zaidi wataweza kusoma tovuti yako kama imetafsiriwa kwa lugha yao. – Kupitia Envaya, ni rahisi kutafsiri ukurasa wowote wa tovuti yako kwa lugha nyingine. – Baada ya kuchapisha ukurasa ambao umeandikwa kwa lugha moja, chagua lugha nyingine ya Envaya kwa kutumia menyu ya Lugha juu ya ukurasa. Halafu, bonyeza Hariri tafsiri au Edit translations,... | youngj | July 25, 2011 |