Base (Icyongereza) | Kiswahili |
---|---|
At the top of the Edit Site page ( To write a news update, simply type the news you would like to publish in the large white box. You can also easily copy-and-paste text from somewhere else, such as a Microsoft Word document. If you would like to include any images or document files in your news update, click Attach image or Attach document and follow the instructions to choose an image or document file from your computer. When you are ready to publish your news update on your website, click the blue Publish button. |
Juu ya ukurasa wa Hariri Tovuti ( Kuandika taarifa ya habari, chapa habari ambayo ungependa kuichapisha katika boksi kubwa nyeupe. Unaweza pia kwa urahisi "copy and paste" maandiko kutoka kutoka mahali pengine, kama vile hati ya Microsoft Word. Kama ungependa kuchapisha picha au faili za hati zozote katika taarifa yako ya habari, bonyeza Fungia picha au Fungia hati na kufuata maelekezo ili kuchagua picha au faili kutoka kwenye kompyuta yako. Ambapo wewe ni tayari kuchapisha habari yako kwenye tovuti yako, bonyeza kitufe cha Chapisha. |
Ibyasobanuwe
|