Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: CM0004EBD46EBA2000120087:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili
Awogro imehamasisha akina mama na kijana kuunda kikundi cha Weka Akiba Boresha Maisha. Wako 30. Hununua hisa baada ya mwezi hukopeshana kwa riba nafuu. Hisa ulizonunua hupata mkopo mara 3 ya kiasi cha hisa ulizonunua. Imeanza Ogast 2011.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe