Base (Igiswayire) | Kiswahili |
---|---|
Awogro imehamasisha akina mama na kijana kuunda kikundi cha Weka Akiba Boresha Maisha. Wako 30. Hununua hisa baada ya mwezi hukopeshana kwa riba nafuu. Hisa ulizonunua hupata mkopo mara 3 ya kiasi cha hisa ulizonunua. Imeanza Ogast 2011. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe