Fungua

/ipeoccasu/history: Kiswahili

AsiliKiswahili
Ifuatayo ni historia ya asasi iitwayoIpembe orphans children care support (IPEOCCASU) kwa mara ya kwanza kabisa mnamo mwaka wa 2004 wazo la la kuanzishwa lilitolewa na mwl Gabriel T Bee ambaye alikuwa mratibu wa elimu kata ya ipembe wakati huo – Na baadae Februali 2005 ikaanzishwa rasmi ikiwa na wanachama kumi na mbili wakiwemo 1 Gabriel T Bee mwenyekiti 2 Yesaya Ramadhani katibu 3...(Bila tafsiri)Hariri