Ifuatayo ni historia ya asasi iitwayoIpembe orphans children care support (IPEOCCASU) kwa mara ya kwanza kabisa mnamo mwaka wa 2004 wazo la la kuanzishwa lilitolewa na mwl Gabriel T Bee ambaye alikuwa mratibu wa elimu kata ya ipembe wakati huo – Na baadae Februali 2005 ikaanzishwa rasmi ikiwa na wanachama kumi na mbili wakiwemo 1 Gabriel T Bee mwenyekiti 2 Yesaya Ramadhani katibu 3... | Below is the history of the organization iitwayoIpembe Orphans children care support (I PEOCCASU) for the first time ever in 2004 the idea of the introduction was made by Gabriel T Mwl Bee, who was the coordinator of education at the same ward ipembe – And later Februali 2005 ikaanzishwa formally with members twelve including a Gabriel T Bee chair 2 Isaiah Ramadhani secretary 3 Gregory N... | Edit |