Injira

/ikwabe/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
HABARI ZA UTAWALA BORA. – Katika mapambano ya kupunguza umasikini,ujinga na maradhi utawala bora na nyenzo mhimu katika mapambano haya. Lakini unaweza kushanga kusikia kuwa tangu uchaguzi umemalizika kuna kijiji kimoja hakina serikali kwa mda wa miezi kadhaa na hivyo kusababisha maendeleo ya eneo husika kuzorota kutokana na maswala ya kisiasa tu. Kijiji kimoja katika wilaya Mvomero tarafa ya Turiani na Kata ya Dingoya kinachojulikana kwa jina la Lusanga hakina serikali kutoka na...(Not translated)Hindura
UHARIBIFU WA MAZINGIRA. – Katika maisha ya sasa uhalibifu wa mazingira umekuwa ni kiwango cha juu sana kiasi kwamba kampeni zote zinazopigwa inaonekana ni kama kutwanga maji kwenye kinu. – Fedha nyingi sana zinatolewa kuhifadhi misitu lakini inaonekana haziwafikii walengwa na kusababisha uharibifu kuendelea kama jinsi kamera yetu ilivyonasa uharibifu huu wa miti katika harakati za uchomaji mkaa. – (image)(Not translated)Hindura
wapendwa wana harakati hamjambo? Lift Life Tulinyamaza kitambo kwa kuwa bado tulikuwa tunajipanga kikazi zaidi. – Habari mpya tulizonazo leo ni kuhusu kujenga uwezo kwa vijana kwa matumizi ya kompyuta(kichakato kikuu) mwaka jana shirika letu tumeendesha mradi wa kujenga uwezo kwa vijana juu ya matumizi ya kiku kwa maana ya kompyuta, na tulifaulu kuwajengea vijana wapatao 20 na sasa wameweza kutumia kompyuta kwa mawasiliano mbalimbali pamoja na kujiajili. ...(Not translated)Hindura
Shirika letu kwa sasa tumeweza kuwasaidia watoto 45 wanaoishi katika mazingira hatarishi wa vijiji vya Lusanga, Kwadoli na Dihinda kupunguza makali ya maisha kwa kuwapatia chakula,nguo na vifaa vya kusomea. – Pia upande wa VVU/UKIMWI shirika limeweza kuendesha zoezi la kupima kwa hiari katika kijiji cha Lusanga ili kubaini maambukizi mapya hapo mwaka 2009 na 2010 na kubaini waathirika 18 ambao wanapata huduma ya dawa za kurefusha maisha sasa. – ELIMU:Shirika...(Not translated)Hindura