Envaya

/ikwabe/news: English

BaseEnglish
HABARI ZA UTAWALA BORA. – Katika mapambano ya kupunguza umasikini,ujinga na maradhi utawala bora na nyenzo mhimu katika mapambano haya. Lakini unaweza kushanga kusikia kuwa tangu uchaguzi umemalizika kuna kijiji kimoja hakina serikali kwa mda wa miezi kadhaa na hivyo kusababisha maendeleo ya eneo husika kuzorota kutokana na maswala ya kisiasa tu. Kijiji kimoja katika wilaya Mvomero tarafa ya Turiani na Kata ya Dingoya kinachojulikana kwa jina la Lusanga hakina serikali kutoka na...NEWS OF GOOD GOVERNANCE. – In the struggle to reduce poverty, ignorance and disease governance and essential tools in this struggle. But you can hear the beads that since the election has concluded there is no village government for a period of several months and thus lead to the development of the area to deteriorate due to political issues only. Village in the district Mvomero division Turiani and Ward Dingoya known by the name of Lusanga no government from the kujiuzuru...Edit
UHARIBIFU WA MAZINGIRA. – Katika maisha ya sasa uhalibifu wa mazingira umekuwa ni kiwango cha juu sana kiasi kwamba kampeni zote zinazopigwa inaonekana ni kama kutwanga maji kwenye kinu. – Fedha nyingi sana zinatolewa kuhifadhi misitu lakini inaonekana haziwafikii walengwa na kusababisha uharibifu kuendelea kama jinsi kamera yetu ilivyonasa uharibifu huu wa miti katika harakati za uchomaji mkaa. – (image)Environmental degradation. – In the present life uhalibifu environment has been a very high level so that all campaign zinazopigwa it looks like water in a mortar hit. – Of money provided to preserve forests but apparently not reach target and cause damage to continue as our cameras ilivyonasa destruction of trees in the process of burning charcoal. – (image)Edit
wapendwa wana harakati hamjambo? Lift Life Tulinyamaza kitambo kwa kuwa bado tulikuwa tunajipanga kikazi zaidi. – Habari mpya tulizonazo leo ni kuhusu kujenga uwezo kwa vijana kwa matumizi ya kompyuta(kichakato kikuu) mwaka jana shirika letu tumeendesha mradi wa kujenga uwezo kwa vijana juu ya matumizi ya kiku kwa maana ya kompyuta, na tulifaulu kuwajengea vijana wapatao 20 na sasa wameweza kutumia kompyuta kwa mawasiliano mbalimbali pamoja na kujiajili. ...movements have loved you not well? Lift for Life Tulinyamaza while we were still planning more work. – Present information we have today is about building capacity for youth to use the computer (a process staple) last year our organization we run a project to build capacity for youth on the use of the causes for the computer, and we succeeded in building young people around 20 and now they can use computer range communication with kujiajili. ...Edit
Shirika letu kwa sasa tumeweza kuwasaidia watoto 45 wanaoishi katika mazingira hatarishi wa vijiji vya Lusanga, Kwadoli na Dihinda kupunguza makali ya maisha kwa kuwapatia chakula,nguo na vifaa vya kusomea. – Pia upande wa VVU/UKIMWI shirika limeweza kuendesha zoezi la kupima kwa hiari katika kijiji cha Lusanga ili kubaini maambukizi mapya hapo mwaka 2009 na 2010 na kubaini waathirika 18 ambao wanapata huduma ya dawa za kurefusha maisha sasa. – ELIMU:Shirika...Our organization for now we can help 45 children living in vulnerable villages Lusanga, Kwadoli and Dihinda cutting edge of life by providing food, clothes and study materials. – Also on the HIV / AIDS organization has been able to operate freely exercise testing in the village of Lusanga to identify new infections there in 2009 and 2010 to identify 18 victims who have access to antiretroviral treatment now. – EDUCATION: The organization developed to provide...Edit