HABARI ZA UTAWALA BORA. – Katika mapambano ya kupunguza umasikini,ujinga na maradhi utawala bora na nyenzo mhimu katika mapambano haya. Lakini unaweza kushanga kusikia kuwa tangu uchaguzi umemalizika kuna kijiji kimoja hakina serikali kwa mda wa miezi kadhaa na hivyo kusababisha maendeleo ya eneo husika kuzorota kutokana na maswala ya kisiasa tu. Kijiji kimoja katika wilaya Mvomero tarafa ya Turiani na Kata ya Dingoya kinachojulikana kwa jina la Lusanga hakina serikali kutoka na... | (Not translated) | Hindura |