Base (Igiswayire) |
Kinyarwanda |
- KUUNGANISHA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MASASI.
- KUANZISHA NA KUENDELEZA MIRADI YA KIUCHUMI ILI KUONDOA UMASIKINI UNAOWAKABILI WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MASASI.
- KUIKUMBUSHA SERIKALI KUWAPA WATU WENYE ULEMAVU HAKI ZAO ZA MSINGI: ELIMU, AFYA, AJIRA, N.K.
- KUPAMBANA NA UNYANYAPAA NA UKATILI WANAOFANYIWA WATU WENYE ULEMAVU.
- KUTAFUTA WAHISANI/WAFADHILI WA NDANI NA NJE YA NCHI WALIO TAYARI KUSAIDIA MAENDELEO YA WATU WENYE ULEMAVU WA WILAYA YA MASASI.
|
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe