Envaya

/madonet: Kiswahili: WI00031D6A7C273000021032:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili
  • KUUNGANISHA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MASASI.
  • KUANZISHA NA KUENDELEZA MIRADI YA KIUCHUMI ILI KUONDOA UMASIKINI UNAOWAKABILI WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MASASI.
  • KUIKUMBUSHA SERIKALI KUWAPA WATU WENYE ULEMAVU HAKI ZAO ZA MSINGI: ELIMU, AFYA, AJIRA, N.K.
  • KUPAMBANA NA UNYANYAPAA NA UKATILI WANAOFANYIWA WATU WENYE ULEMAVU.
  • KUTAFUTA WAHISANI/WAFADHILI WA NDANI NA NJE YA NCHI WALIO TAYARI KUSAIDIA MAENDELEO YA WATU WENYE ULEMAVU WA WILAYA YA MASASI.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe