- KUUNGANISHA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MASASI.
- KUANZISHA NA KUENDELEZA MIRADI YA KIUCHUMI ILI KUONDOA UMASIKINI UNAOWAKABILI WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI MASASI.
- KUIKUMBUSHA SERIKALI KUWAPA WATU WENYE ULEMAVU HAKI ZAO ZA MSINGI: ELIMU, AFYA, AJIRA, N.K.
- KUPAMBANA NA UNYANYAPAA NA UKATILI WANAOFANYIWA WATU WENYE ULEMAVU.
- KUTAFUTA WAHISANI/WAFADHILI WA NDANI NA NJE YA NCHI WALIO TAYARI KUSAIDIA MAENDELEO YA WATU WENYE ULEMAVU WA WILAYA YA MASASI.
Mabadiliko Mapya
MASASI DISABLED ORGANIZATIONS NETWORK imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
MASASI, MTWARA, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu